Sista Sophia
Member
- Feb 6, 2010
- 50
- 26
Wenyewe mpo humu ndani, nimetoka mbali mie nahitaji kinywaji kabla kabla sijaanza kuongea.Tena nahitaji kile cha baridi sanaaaaaaa!!
Karibu sista. Habari za sala?
Karibu sana Sophia unapendelea kinywagi gani soft au ugwadu!! feel @ home
Karibu mama ila mvinyo asubuhi yote hii? Huyo mchumba mtawezana kweli? Halafu mama hijabu na mvinyo wapi na wapi? Usijali sana mama unakaribishwa sana tu ndo maisha yetu lakini ungeomba badae kidogo may be saa sita au saba!Mie napenda mvinyo mweupe niletee wa baridi.
Mh.....uingiaji jamvini kwa mkwara namna hii...wewe lazima ni mwenyeji humu tayari, umeji-disguise tu!Wenyewe mpo humu ndani, nimetoka mbali mie nahitaji kinywaji kabla kabla sijaanza kuongea.Tena nahitaji kile cha baridi sanaaaaaaa!!
Umeolewa.???Wenyewe mpo humu ndani, nimetoka mbali mie nahitaji kinywaji kabla kabla sijaanza kuongea.Tena nahitaji kile cha baridi sanaaaaaaa!!
Umeolewa.???
Kwani kakuambia yeye ni she?
sista sophia....
kheeeeeeeeee!!!!!!!!Mamushka...... stuka! Kuna kina Anti Ezekiel pia......! Stuka!
kheeeeeeeeee!!!!!!!!