katotokangu Member Dec 2, 2010 6 0 Dec 3, 2010 #1 Napiga hodi kwa wana JF wote napenda kuungana na hii jamii katika kuongelea mada mbalimbali.
M Malila JF-Expert Member Dec 22, 2007 5,149 4,674 Dec 3, 2010 #6 katotokangu huko ulikotoka wazima? shangazi umemwambia kuwa unakuja kwa mjomba? au umetoroka wewe? Karibu sana.
katotokangu huko ulikotoka wazima? shangazi umemwambia kuwa unakuja kwa mjomba? au umetoroka wewe? Karibu sana.