Hodi Arusha tupo pamoja na Rais wetu Samia Hassan

wazunguwawili

JF-Expert Member
May 29, 2019
3,984
4,131
Nawasalimu wakuu.

Hatimaye tena ndani ya Chuga.

Ukarimu wa mara ya mwisho haukuwa na kifani.

Tukiendelea kuunga mkono juhuzi za kuwalatea wananchi mema ya nchi, nipo tena chuga kwa machaliii.

Tupeane code tu wapi mupoooo. Mie saa 6 sharp naanzia bilz pale.

Hii hali ya hewa sio kama lile baridi la miezi 2 nyuma. Ipo poa sana.

Kweli hii ni Geneva of Africa.

Huku huhitaji kubeba manzi, utawakuta tu.

Watoto wakali sana ngoja niwabane jamaa zangu wanilipe hela za mbao.

Mama anaupiga mwingi sana, ukibisha piga Kvant ama nyagi.

Ni mwendo kuzindua miradi na kuianzisha mipya. Hadi tuifikie inchi ya asali na maziwa.

Eeee kuna call hapo ova ova.

Kazi inaendelea.
 
Eeee kuna call hapo ova ova...kazi inaendelea.
😍
 
2960219_IMG-20211010-WA0032.jpg
 
Waziri Wa Nchi Ofisi Ya Rais, Tamisemi
Haa Haa Eti Nimewabana Wakuu Wa MMikoa Hata Wakija Kwako
 
Sijui kwanini nikiona neno "anaupiga mwingi" najiskia vibaya
 
Nawasalimu wakuu.

Hatimaye tena ndani ya Chuga.

Ukarimu wa mara ya mwisho haukuwa na kifani.

Tukiendelea kuunga mkono juhuzi za kuwalatea wananchi mema ya nchi, nipo tena chuga kwa machaliii.

Tupeane code tu wapi mupoooo. Mie saa 6 sharp naanzia bilz pale.

Hii hali ya hewa sio kama lile baridi la miezi 2 nyuma. Ipo poa sana.

Kweli hii ni Geneva of Africa.

Huku huhitaji kubeba manzi, utawakuta tu.

Watoto wakali sana ngoja niwabane jamaa zangu wanilipe hela za mbao.

Mama anaupiga mwingi sana, ukibisha piga Kvant ama nyagi.

Ni mwendo kuzindua miradi na kuianzisha mipya. Hadi tuifikie inchi ya asali na maziwa.

Eeee kuna call hapo ova ova.

Kazi inaendelea.
Hakika ni muda wenu kutamba, crew ya mama mnakula maisha hadi napata wivu 😎
 
Back
Top Bottom