Hobo hakuna chombo cha kudhibiti ubora wa mabango?

Mlendamboga

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
664
334
Nipo kwenye basi kwenda mkoani nimekutana na bango la tangazo la panadol pale Tra chalinze halifanani Kabisa na bidhaa inayotangazwa hasa ikiangaliwa katika mkitadha wa kiafya. Linakutu mpaka maneno panadol yanasomeka panadoa!!! Si Mamlaka husika zipo Na kwanini zisling'oe manake ni uchafu
 
Back
Top Bottom