Hlslb

IOGT-NTO

Member
Apr 23, 2008
6
0
The objective of the Board is to assist, on a loan basis, needy students who secure admission in accredited higher learning institutions, but who have no economic power to pay for the costs of their education.

Sasa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita na hata matokeo yao hawayafahamu wanashinikizwa kwa maelfu kulipia ada shilingi elfu kumi kila mmoja kwa ajili ya kudhaminiwa. Nimeona misururu mirefu katika matawi yote ya CRDB Dar es salaam leo. Kama hawatapata alama za kutosha, watarudishiwa ada zao?

10,000 x Wanafunzi elfu... = ___ ?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom