Hizo kopa kopa mnaamini wote tuna wapenzi?

chaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
taaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
chubwiliiiiiii
Wimbo wa Reyvan na Mond
 
Hata mimi zimenikwaza, wangeweka mtu akifungua MMU ndio anazikuta, sio mimi nataka topic kwenye majukwaa mchanganyika halafu hizi takataka zinaonekana, wameboa.
 
wengine mapadre na masister humu mnatupa mitihani ya kisaikolojia
Ndio maana siku hizi mitaani wanadhani JF ni mtandao wa kutafuta wachumba, kutokana na upuuzi kama huu! Kutoka whistle blower hadi "makopakopa" Inasikitisha!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom