Hizo chale ni wanawake tu au hata wanaume pia wanazo?

Bila vitabu na tamadun za hao mnaowaabudu kukujieni sijui mngehoji nini?

Mtanzania bana akienda jana tu Marekan leo kiswahili hakiwezi

Nae Mngon akienda Dar jana leo hajui Kingon

YAANI NI VITUKO TU
 
Kuna dem nilimtongoza, siku niko nae ghetto kumvua nguo nikamuona ana michale mwili mzima kama kibao cha kukatia kashata, khaaa!!! mkuyenge haukunyanyuka kabisa
 
Hivi mpaka Leo hujagundua kuwa kuna wanawake hawawezi fanya jambo lolote hapa duniani mpaka wapitie kwa sangoma kuchanjwa hizo chale!

jaman na mm nimekutana na wanawak design hyo !akitaka kufanya kabiashara anakimbilia kwa mganga !yaan weengine wanaenda kwa waganga ili wapate mabwana wa kuwapa pesa !haahahha jaman kazi ipo !anywys kila mtu na imani yake !

mie siku nitakayoenda kwa mganga atanifukuza fasta !maana nitacheka sana na kumhoji maswali karahishi lol! nashukur sin ht chale 1
 
Unapata wapi muda wa kuangalia hayo maeneo?aiseee.... Mi sijawah angalia hayo maeneo na kwa wale nliowah kuwa date hawakuwa nazo.

Kama mada inavyosema, nimekuwa nikiona wadada na wanawake wengi wana chale chini kidogo ya shingo mgongoni na kifuani tena wengine ni nyingi sana zimepangana mstari sasa nashindwa kuelewa wanachanjwa kwaajili gani, na je hata wanaume pia wanazo ila hazionekani kwasababu ya mavazi yao au inakuwaje?
Naomba wana jf mnieleweshe maana nimekuwa na maswali mengi.

NB: Mimi ni ke na sina chale.
 
Mbitiyaza we kweli huna chale? Leo ntakuangalia maana huko huwa sikuangalii kabisa. Nakuwa busy tu....

jaman na mm nimekutana na wanawak design hyo !akitaka kufanya kabiashara anakimbilia kwa mganga !yaan weengine wanaenda kwa waganga ili wapate mabwana wa kuwapa pesa !haahahha jaman kazi ipo !anywys kila mtu na imani yake !

mie siku nitakayoenda kwa mganga atanifukuza fasta !maana nitacheka sana na kumhoji maswali karahishi lol! nashukur sin ht chale 1
 
Kama mada inavyosema, nimekuwa nikiona wadada na wanawake wengi wana chale chini kidogo ya shingo mgongoni na kifuani tena wengine ni nyingi sana zimepangana mstari sasa nashindwa kuelewa wanachanjwa kwaajili gani, na je hata wanaume pia wanazo ila hazionekani kwasababu ya mavazi yao au inakuwaje?
Naomba wana jf mnieleweshe maana nimekuwa na maswali mengi.

NB: Mimi ni ke na sina chale.
subiri yakukute ndo utajua
 
Hata wanaume wanazo ikiwemo mm, ila zangu kidogo japo sijui ziliingia VP wakati nasoma Advance tulikuwa tunaoga sehemu ya wazi ilikuwa rahisi kuonana kuna watu wana chale karibia mwili mzima had unaweza kumwogopa
 
Mbitiyaza we kweli huna chale? Leo ntakuangalia maana huko huwa sikuangalii kabisa. Nakuwa busy tu....

hahaha sina chale na hatunaga imani hizo kwetu !yaan sie hatujawah valishwa hata yale manyoya ya mikonon utoton sijui ya kutoa degedege ! hahaha sema unakujaga ukiwa high sana na ww!unaangalia sehem moja tu lol
 
Wengine ni matibabu walifanyiwa wakiwa watoto...Kuna manz angu mmoja alikuwaga na tatizo la kuumwa sana kichwa utotoni wazazi wakamuhangaikia adi leo ana chale katikati ya kifuani. Ila sio mshirikina ni mkristo safi tu
 
Ungewauliza uliowaona nazo maana kila aliyechanjwa ana makusudi yake

mimi za kwangu nimechanja kichwa cha chini (kwa kutumia mate ya koboko, basi huwa kinaumuka kama bichwa la koboko ninapofanya majamboz
Mkuu ungechanjia cha ujuu
 
ha ah ha..umenishinda... we mkali. nimcheka sana.... ntakuangalia nikija kesho jioni.

Back
Top Bottom