Hizo chale ni wanawake tu au hata wanaume pia wanazo?

Ungewauliza uliowaona nazo maana kila aliyechanjwa ana makusudi yake

mimi za kwangu nimechanja kichwa cha chini (kwa kutumia mate ya koboko, basi huwa kinaumuka kama bichwa la koboko ninapofanya majamboz
 
Kama mada inavyosema, nimekuwa nikiona wadada na wanawake wengi wana chale chini kidogo ya shingo mgongoni na kifuani tena wengine ni nyingi sana zimepangana mstari sasa nashindwa kuelewa wanachanjwa kwaajili gani, na je hata wanaume pia wanazo ila hazionekani kwasababu ya mavazi yao au inakuwaje?
Naomba wana jf mnieleweshe maana nimekuwa na maswali mengi.

Nb: mimi ni ke na sina chale.
Mimi nimeona akina bibi na akina mama wa Kimakonde wakiwa na chale uso mzima, ndio kama hizo?
 
Hizo chale ni signal za 7G kutoka kwenye mnara mkuu. Ili kuvuta wanaume kwa kasi ya ajabu. Kwa hiyo ukiona ana chale nyingi ujue ana nguvu kuliko hata mkongo wa Taifa.
Umenifanya nicheke siyo siri eti nguvu kuliko hata mkonga wa...
 
Ungewauliza uliowaona nazo maana kila aliyechanjwa ana makusudi yake

mimi za kwangu nimechanja kichwa cha chini (kwa kutumia mate ya koboko, basi huwa kinaumuka kama bichwa la koboko ninapofanya majamboz
 
Hizo chale inamaanisha tiba za kienyeji, ukimuona mtu wa namna hiyo ujue ni muumini wa ushirikina...
SIO KWeli wENGINECNI UREMBO Na wENGINE NI KWA AJILI YA TIBA KAMA DEGEDEGE. yaani unachanja na kupaka dawa inayosafirishwa haraka na damu? hii ilikuwa zamani sindano hakuna maana degedege ni homa kali inayohitaji kushushwa haraka.bado maeneo machache wanendelea kutumia ujuzi huu
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom