Hizi TV-Stesheni ziko wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi TV-Stesheni ziko wapi?

Discussion in 'Entertainment' started by PakaJimmy, Nov 18, 2009.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ndugu wanaJF hususan wale wanaotumia TV-Dish la kawaida la Free To Air, siku chache zilizopita kulikuwa kunapatikana Channel kama e-Tv ya South Africa,ambayo ni nzuri sana tu, pia kulikuwa na UJALA- inayoonyesha mambo ya Wanyama na Teknolojia kwa ujumla, pia kulikuwa na OHTV, ambayo nilikuwa naipenda sana.

  Kwa sasa hizi stesheni sizipati tena, naomba msaada wenu kwa wanaojua kama zimebadilishwa zimekuwa na frequency gani?
   
 2. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  PJ,

  Ngoja nikusaidie kny hiyo e-tv ya SA, mwenyewe nilikuwa naipenda sana! Nimeitafuta nikakosa, nikagoogle nakupata email ya wahusika nikawaandikia email......ebu soma majibu yao hapa chini;

  [​IMG]


  So mzee kama unaubavu.......jitolee uwe unairusha TZ jamaa hawana neno ukiingia nao mkataba!

  Cheers
  NL
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180

  Du...
  Nashukuru sana NL kwa juhudi hiyo ambapo umenifaidisha hata mimi leo..!
  Kumbe inabidi niachane nayo kabisa.
  Ubavu huo wa kuwa kuwa agent sina Mkuu wangu!...Acha niendelee na mastesheni ya KIHINDI yaliyobaki...Bure ni ghali sana..lol!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2009
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Mkuu hata mie niliwatumia email wakanijibu the same, lkn nahisi km kuna mtu anataka kuanzisha cable tv hivi, na kati ya package zitakazokuwepo ni hiyo eTV ndo maana wameipiga pi
   
 5. Bluray

  Bluray JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2009
  Joined: Mar 25, 2008
  Messages: 3,446
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Inawezekana ni pirate kweli,

  Inawezekana ni mpango wa kibiashara wa kuwaonjesha watu, halafu wakishakuwa "mateja" kuwakatia supply.

  Ma drug dealers wanatumia sana strategy hii.
   
 6. M

  Mundu JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2009
  Joined: Sep 26, 2008
  Messages: 2,719
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nakushauri ununue decoder ya DSTV uone machaneli ya Ukweli. tatizo ni kuwa unatakiwa utenge hela za kila mwezi!
   
 7. Pape

  Pape JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2009
  Joined: Dec 11, 2008
  Messages: 5,513
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  pole PJ
   
 8. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #8
  Nov 19, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kuna mtu ana idea na bei za package mbalimbali za DSTV, ILI NIJUE kama nita`manage costs?
   
 9. Next Level

  Next Level JF-Expert Member

  #9
  Nov 19, 2009
  Joined: Nov 17, 2008
  Messages: 3,159
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hizo programs zinazopatikana kny channel kama e.tv huzioni DSTV kabisa, E.TV ni FTA (free to air) i.e hailipiwi,but sasa hivi wamelimit inapatikana SA tu...........!
   
 10. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #10
  Nov 19, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh
  Mlipewa kidole, sasa mnataka na mkono...poleni wakuu wenzangu
   
 11. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #11
  Nov 19, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PakaJimmy;Kuna mtu ana idea na bei za package mbalimbali za DSTV, ILI NIJUE kama nita`manage costs?

  If am not mistaken!!!!

  1. full package(conn.fee +decoder) plus one month free =295000/=
  then monthly charges = 95000/=

  2. full package(conn.fee +decoder) plus one month free =295000/=
  then monthly charges = 45000/= but some channels are missing ex.s.sports

  3. full package(conn.fee +decoder) plus one month free =295000/=
  then monthly charges = 25000/= FAMILY
  but MOST of channels are missing
   
 12. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #12
  Nov 19, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  PakaJimmy;Kuna mtu ana idea na bei za package mbalimbali za DSTV, ILI NIJUE kama nita`manage costs?

  If am not mistaken!!!!

  1. full package(conn.fee +decoder) plus one month free =295000/=
  then monthly charges = 95000/=

  2. full package(conn.fee +decoder) plus one month free =295000/=
  then monthly charges = 45000/= but some channels are missing ex.s.sports

  3. full package(conn.fee +decoder) plus one month free =295000/=
  then monthly charges = 25000/= FAMILY
  but MOST of channels are missing
   
 13. P

  PauliMasao JF-Expert Member

  #13
  Nov 19, 2009
  Joined: Nov 26, 2007
  Messages: 286
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Below are monthly fee breakdowns:-
  DStv premium bouquet with over 65 TV channels for $ 74 per month · DStv Compact bouquet with over 34 TV channels for $ 25 per month · DStv family bouquet with over 25 TV channels for $ 19 per month.

  DStv Access bouquet with over 25 TV channels for $ 10 per month · DStv Easy View bouquet with over 10 TV channels for $ 36 per year.

  You can pay your monthly subscription fee in Tshs as well depending on the current dollar exchange rate which is 1320/=.
  Zote zina news channel kama BBC, CNN, Aljazeera.
   
 14. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #14
  Nov 19, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Ahsante sana Mkuu kwa hiyo breakdown...
  Kinachobaki ni kujikuna hadi ninapoweza.
   
 15. nzalendo

  nzalendo JF-Expert Member

  #15
  Nov 19, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 7,875
  Likes Received: 2,682
  Trophy Points: 280
  Maana ya fitna ni nini?
   
 16. Mwana va Mutwa

  Mwana va Mutwa JF-Expert Member

  #16
  Nov 19, 2009
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 429
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  tatizo ni kwamba inaweza kukulazimu kupunguza idadi ya chui kwa mwezi
   
 17. Che Guevara

  Che Guevara JF-Expert Member

  #17
  Nov 19, 2009
  Joined: May 22, 2009
  Messages: 1,178
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  There you are Bluray.

  One of the two is true,
  Either it was indeed a pirate broadcast, or they wanted us to have a taste of it then withdraw it and solicit orders from potential broadcasters. That's business baby!

  Wanasubiri, nasi tunasubiri...
   
 18. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #18
  Dec 3, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  Sizani kama ilikuwa ni kuonjesha coz' mi nilianza kuipata ile stesheni since 2006, na mara kwa mara walikuwa wanaifunga lakini baadae wabongo wana-struggle na kupata frequency zake!!! kwahiyo don' worry, watu wataikamata tu hiyo!!! kwa hesabu za haraka haraka, hii ni mara ya tatu wanafunga frquency zake kwa huku!!! but all in all, unaweza kujipoza na SABCs, ambazo zinapatikana FRQ 3994, SYMrate: 26000 H, try satelite LM, or Most/Hotbird
   
 19. Bollo Yang

  Bollo Yang JF-Expert Member

  #19
  Dec 3, 2009
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 440
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Mbona mi naipata hiyo e-tv tena kwa antenna ya kawaida tu, ile kama ya Radio...
   
 20. N

  NasDaz JF-Expert Member

  #20
  Dec 3, 2009
  Joined: May 6, 2009
  Messages: 11,308
  Likes Received: 1,651
  Trophy Points: 280
  mnh! hiyo itakuwa ni ile elimisha tv
   
Loading...