Hizi teuzi huwa Kigezo cha elimu sio muhimu kabisa

Makanali wa TPDF walioteuliwa ni wasomi na maofisa wa TPDF hawapandi vyeo kutoka uluteni kwenda captain, major, luteni Kanali, Kanali, Brigadier General, Major General, Luteni Generali bila kupitia kozi kibao ndani na nje ya nchi za masuala ya uongozi, ulinzi na usalama mbali ya kuwa wamemaliza elimu ya juu ya sekondari na kuhitimu vyuo vya elimu ya juu.
Elimu ya juu wapi?
 
Sio kweli kuwa mtu ambaye sio mwanajeshi hiyo mikoa haiwezi, mbona ilishawahi kuongozwa nao na wakaiweza?!!awamu ya tano sana sana, ndio ilipendelea sana kuwaweka wanajeshi mikoa hiyo, lakini sio lazima.
Wakaiweza vipi? Mkuu sheria zipo
 
Jmp aliwahi mpigia mwanafunzi wake wa physics akataka ampe u Rc wakati huo huyo mwanafunzi alikuwa meneja bank kubwa tu, aisee huyu mwanafunzi alikataa nikamuuliza kwa nini umekataa akasema ati dada yake alisema abaki bank ati akienda kwenye siasa atamsahau Mungu.

Yaani hivi mimi ningeanzia wapi kukataa? Simu moja tu najibu mh natakiwa kuripot lini?😂😂

Bahati mbaya huyo mwanafunzi akafariki mwaka jana mwezi wa 6 tukiwa kwenye misa ya mazishi jmp akapiga simu kutoa pole akasema mwanafunzi wangu mtiifu alikuwa akifanya vizuri darasani.

Hapa ndo nilijua sifa zako nzuri na connection ndo zinakubeba kupata cheo.
 
Hapohapo msibani ungeunganisha connection na JPM na wewe saahizi tungekuwa tunakujadili magazetini. Umepoteza connection aisee.
 
Hapohapo msibani ungeunganisha connection na JPM na wewe saahizi tungekuwa tunakujadili magazetini. Umepoteza connection aisee.
We acha tu nilikuwa nishaanza kutengeneza njia chini chini sikuwahi kuonesha hata humu kuwa namkubali jpm hata mbele za watu sikuwahi kumfagilia ila moyoni nilimkubali kinyama, akifinya majizi na vyeti feki , tumbua wajinga wajinga nacheka kinafiki.

Nikiwa naongea na watu wenye akili lazima tuongelee sifa za jpm, nikiwa naongea na nzengo changanyikeni nakuwa ktkt.

Alivyokufa nilishindwa kujizuia niliumia sana. Niliwaza vitu tunavyoviona ulaya leo vip tz kwa sababu ya jpm leo anaondoka gafla?

Rest easy jpm.😭😭
 
Hizi teuzi huwa zina michanyato ya kutisha kabisa.

Kuna Ma RAS ni Ma Professor kama yule Kamzora wa kule Kagera na kuna RAS nazani wana Degree na wengine Diploma kabisa.

Kuna wakuu wa mikoa ni Wanajeshi hawa ni Darasa la saba, kuna wenye certficate, kuna wenye Diploma hadi Ma Dr.

Ukuu wa wilaya nao hivyo hivyo wapo wenye Degree, wapo Standard seven na wapo Ma Dr kabisa.

Nahisi kama kigezo cha elimu huwa hakiangaliwi kabisa kwenye hizi teuzi ndo maana wanakutana wenye kila aina ya Elimu.
Wasomi mna taabu sana kuonesha upumbavu wenu... mkizidi sana ulimbukeni tutaanzasha sheria kila mtu alichosomea ndio akifanyie kazi maana kila kazi mnataka nyie tu hizo chache za wengine mnashupalia utadhani ni ulithi wenu... yaani aliyesomea sheria anataka awe mkuu wa Bandari awe mkuu wa Dawasa n.k nendeni mahakamani, mtu Daktari wa mifupa atakata apewe shirika la nssf, mtu kasomea kitu tofauti anataka afanye kazi tofauti uzandiki tu... tulieni watu waendeshe nchi pumbavu
 
Back
Top Bottom