Hizi tarakimu hapa chini zatuambia nini?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
233
Imekaaje hii? Inatupatia picha gani? Kutoka 35,000+ hadi 26,000+: na kutoka 0 hadi 23,000+; na kutoka 11,000+ hadi 2,000+.

Kwa wasioelewa nasema niniu, hizo na tarakimu za kura walizopata vyama vikuu vitatu katika uchaguzi mdogo Igunga, zililinganishwa na zile za uchaguzi mkuu wa mwaka jana.
 
Spanner, you've cheered my heart - which was bleeding! Bravo comrade.
Uchaguzi ungefuata system ya USA ya 'electoral college' CDM ingechukua helm.
 
Imekaaje hii? Inatupatia picha gani? Kutoka 35,000+ hadi 26,000+: na kutoka 0 hadi 23,000+; na kutoka 11,000+ hadi 2,000+.

Kwa wasioelewa nasema niniu, hizo na tarakimu za kura walizopata vyama vikuu vitatu katika uchaguzi mdogo Igunga, zililinganishwa na zile za uchaguzi mkuu wa mwaka jana.

Hii ina maana CCM wameshuka kwa 26% huku CUF wakishuka kwa asilimia 18%.Wakati huohuo CDM wamepanda kwa asilimia 23,000%.Hili ni ongezeko kubwa la kihistoria kwa maana hiyo, mathematically CDM ni washindi CCM hawana chao 2015.
 
iko wazi kwamba CCM zote mbili yaan A na B zinashuka kwa kasi ya ajabu,kufikia 2015,watakua hawana chao.
 
I still do not believe that only 33% of registered voters turned out to vote.
 
Ila walioumia zaidi ni CUF kwanza ni nyumbani kwa Lipumba. Nadhani Lipumba afikirie kustaafu pia
 
Binafsi nawapongeza CDM kwa matokeo hayo sikutarajia naamini hiyo ni asilimia ya ongezeko wakati wengine wamepata asilimia za upungufu wakijipanga vizuri kabla ya 2015 kwenye uchaguzi wa serikali za mtaa 2014 kuhakikisha kupenya mpaka ngazi ya vitongoji, pia kuhamasisha vijana kujiandikisha.
 
I still do not believe that only 33% of registered voters turned out to vote.

Voter Registration Cards zilikamatwa akiwa nazo mjumbe, including the voters roaster.......................................
 
plus vitisho, risasi za moto, mabomu, maji ya kuwasha, kuchakachua, helikopta mbili, magufuli, mkapa, mkama, kiwete(alikwenda usiku), komba+tot, ze komedi, bakwata, kafu, rustam, nepi, rizwani, mwigulu, shigela ... all the rubbish!!!

Umesahau mvua. LOL!!
 
Nadhani cdm kuna haja ya BAVICHA sasa kulivalia njuga swala la vijana kutojiandikisha na wengine kutokuwa na hamasa ya kupiga kura ili hali wanajitokeza kwa wingi kwenye kampeni.

Kashinye anahitaji kufanya kazi ya ziada ya kujipambanua kuwa yeye ni mbunge mtarajiwa wa igunga kwa kuanza kuwashirikisha wananchi katika shughuli za kujiletea maendeleo. Anaweza kujihusisha na mipango mingi tu ya kuwabadilisha watu iliwajitambue.anahitaji kuwaonyesha akinamama wa Igunga kuwa ana kitu cha kuwasaidia kuondokana na umasikini wao.

watu humpigia kura mtu wanayemjua na aliyewahi kuwasaidia na wanamwamini kuwa anaupendo kwao.

Kashindye kwa muonekano wake anaweza kuwa msaada sana kwa wanaIgunga. KKafumu kutokana na status yake ni ngumu kuwa karibu na wananchi zaidi ya kuwahonga tu.

Chadema nyie ni watu makini na you really make us simIle and we are proud of you guys! May God bless you!
 
Sina shaka kabisa...Nilipost thread moja hapa JF jana,nikasema tushinde au tusishinde Igunga lazima mapambano yaendelee..CHADEMA wameonyesha kuwa ni moja ya vyama ambavyo kama tukishikiria mwendo huu hakika tutafika...
 
Kweli CHADEMA wamefanikiwa sana. Wamefanya vizuri mno! Timu ya refa lazima ingeshinda lakini mwisho wa mechi moja ni maandalizi ya mechi nyingine.

Wadau, naomba kujua matokeo ya viti vya udiwani uliofanyika jana sambamba na wa Igunga.
 
Wapo wapi wale wapigadebe uchwara waliokuwa wanasema CUF na chadema watagawana kura? Wako wapi wale waliokuwa wanapigia kelele muungano wa upinzani? Igunga imetupa jibu kwamba watanzania wameamua kuwa na chama kimoja tu cha upinzani.Asante watanzania.Hakika matawi yote ya ccm kama updp,cuf tlp,nccr na wengine watakufa kifo cha mende.Hakika utabiri wa mwenyeheri Julius Nyerere unakaribia kutimia.
 
I am smilling cuz pamoja na hardship waliowekewa CHADEMA,wameweza kupenya kufikia ushindi huo. Hiki chama hakitambai, kinakimbia, huku babu ccm ananyata km c kuchechemea! ALUTA CONTINUA MY CHADEMA!
 
Imekaaje hii? Inatupatia picha gani? Kutoka 35,000+ hadi 26,000+: na kutoka 0 hadi 23,000+; na kutoka 11,000+ hadi 2,000+.

Kwa wasioelewa nasema niniu, hizo na tarakimu za kura walizopata vyama vikuu vitatu katika uchaguzi mdogo Igunga, zililinganishwa na zile za uchaguzi mkuu wa mwaka jana.
Spana unajifariji bila sababu. wakati CDM inajinadi mlikuwa na asilimia 99 kushinda jimbo la Igunga. Samahani sana fanyia kazi yafuatayo:
1: Pangeni(CDM) mkakati wa kuwashawishi watu wazima(wazee akina baba na mama ) kura zao ni asali (CDM) sio kwa fujo wala vitisho. Waambieni madhara wanayopata kwa kuiweka CCM madarakani. Kazi hiyo wapeni wazee wenzao makini waliomo CDM sio vijana lugha itagongana.
2: Pangeni Fitna iwasambaratishe CCM. Wawe na vita ya maneno wenyewe wamalizane.
3:Mjini mnakubalika hamieni vijijini kwa kasi kubwa.

Hayo ndo mawazo yangu katika mstakabali mzima kuelekea kujipanga kwa chaguzi zijazo. Wagombea wenu wakishindwa kila chaguzi wanachama wenu watakata tamaa mapema na kuona chama hakipati mafanikio.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom