Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 12,726
- 19,868
Poleni na majukumu na COVID 19 ambayo sisi kama taifa ya JMT tumeamua kukana kuwa kinachotusumbua sio COVID bali na tatizo la upumuaji almaarufu kizungu kama pneumonia.Anyway tuachane na hilo twende kwenye mada.
MADA: Wifi yenu ni mjamzito wa miezi 6 ila cha kushangaza amekuwa na matabia ya ajabu kama mzimu ambapo anapelekea nitamani kumzaba mikofi ama nihame nyumba au nishinde bar. Unakuta ananifanyia matendo yanayoashiria hanipendi hata kuniona ambazo tabia hizo ni ngeni kabisa kwake ukifananisha na enzi zile hana mimba, mbaya zaidi mwenzenu nanyimwa uch.i leo ni siku ya 29 na hii imepelekea kurundikana kwa nye.ge mwilini mwangu ambazo zimezalisha hasira kali mno haswa ukijumLisha na kabila langu la kikurya yaani natamani hata nijambe ili nirelax. Mke wangu imefika point nikitoka kazini narudi home yeye anahama hata chumba analala kwenye chumba cha mtoto wetu wa kiume JUNIOR ambapo nye.ge zinanipelekea kumkufuru MUNGU mpaka naanza kumuonea wivu mwanangu Junior wa miaka 7
ANYWAY,Naomba niulize JE hivi visa vinavyoendelea kwa wake zetu wajawazito ni maigizo,FUTUHI,visasi au ni nini? nauliza hivi kwa sababu enzi za mimba ya JUNIOR mke wangu hakuwa hivi nakumbuka alikuwa anapenda niwe nimelala mapajani mwake huku tunaangalia movie chumbani kwetu leo hii nashangaa mimba hii imeniletea uhasama mpaka shetani wa kuchepuka anashinda masikioni mwangu akininong'oneza ma vitu ya ajabu ajabu.
ANGALIZO: Uzi huu ningependa uchangiwe na wenye wake au wanawake wenyewe ambao wapo kwenye ndoa au wenye experience na ujauzito tena ikibidi zaidi ya mmoja.Na wale wazee wa kutoona siku ndani ya mwezi mbio mpaka kwenye DUKA LA DAWA kwenda kununua MISOPROSAL naombeni mtoe like kwenye uzi na comments za wadau tajwa hapo juu
KARIBUNI TUJIFUKIZE KWENYE HUU UZI.