Hizi tabia za wake zetu wakiwa wajawazito ni tabia zao, maigizo, visasi ama malipizi?

Mimi sijaoa najapokua umetubagua, , ila Nakushauri na lazima ushauri wangu uuchukue ,utake usitake.


Mwanamke akibeba mimba kuna mawili apende mbooo sanaaa au achukie mbooo sanaaa( sababu ya mabadiliko ya homoni)


Kwann??

Kwa sababu mwanamke anapobeba mimba kuna mabadiliko makubwa ktk kila mfumo wake wa mwilin,na zaidi ni
Mabadiliko ya kutokua na usawa wa homoni za Estrogen na progesterone
Kuongezeka kwa mzunguko wa damu maeneo ya Yote ya K na kuzunguka K. Nahii hupelekea Kisimi chake kua Sensitive sanaaaa, mashavu ya K kua yamotoo sababu ya Damu eneo hilo, pia Kunakuwepo naongezeko kubwa la Uzalishwaji wa Ute ute mzitooo wa kuvutika, Matiti yake yanavyozidi kukua nayo ndo yakua sensitive sanaa

Hii inamaanisha kua ktk miezi 6 ya mwanzo, wanawake wengi upendaa mbooo sana.na kwakua wanapenda MBOOOO, WATAKYPENDA SANAAAA SANAAAA TU MUDA WOTE ATATAMAN AWE NAWEE.


KWANN Inaokea hawapendi???


Mabadiliko hayo hayo ya homoni, uchovu wa mimba, Mawazo, kichefu, na maudhi yoooote ya kipindi cha mimba, kwa wengine huwafanya kabisa Wasitamani mboooooo , sasa siku nzima kashinda anatapika, Atapenda mbooo???..wengine huwa wanahofu huenda mbooo ikamuumiza mtoto, huenda ikaharibu mimba n.k ..

Wanawake hawa hawatopenda mbooo, na kwakua hawapendi mbooo, WATAKUCHUKIA SANAAAAA SANAAA TUUU....MUDA MWINGINE ATATAMAN ASIKUONE MACHONI HUENDA HATA AKAWA ANATAMANIA UFE TU.
Aisee hii kitu ya kupenda MBOO umeikazia sana!
 
Mkuu comments zako huwa zinanichekesha sana.Kuna wakati unaongea kwa ukali ila ndio ukweli wenyewe.Nimekuwa nikifuatalia sana comments zako
Mkuuu mwenyewe nimeshajitahidi nisiwe naandika kwa kukazia ila bado sijafanikiwa naamini nitafanikiwa kuacha.

Kwan huwa naeleweka au hamnielewi ? mnaniona kama jamaa Muhun eeh??
 
Ninakumbuka nikiwa mjamzito,nilimchukia sana mkaka fulani,yule kaka hakuwahi kunikosea kabla lakini baada tu ya kupata ujauzito nilimchukia kiasi mahali alipo sikutamani hata kupita.
Hata ukiniuliza sababu ya kumchukia mimi mwenyewe sijui.Ila tu nilijitahidi nisionyeshe chuki kiasi akajua😂😂.Sikuwa ninapenda ile hali
lakini nilijikuta tu simpendi,Baada ya kujifungua ile hali ilipotea

Pia mimba ikiwa hatua za mwanzoni,mzazi mwenzangu ndio alikuwa ana experience zile hekaheka zote.Alikuwa anatapika,kuna wakati anahisi kama Bp inashuka,Anajisikia vibaya vibaya tu muda wote
Wakati huo mimi niko fresh kabisa 😂

Jamani hii kwangu imenitokea vice versa. Hapa ofisini kuna mke wa mtu mjamzito nadhani anaenda mwezi wa 6 -7 sasa ANANIPENDA BALAA..!!! Yaani kila mda anataka kukaa na mimi, kuna siku anakuja ofisini kwangu anashinda huko siku nzima. Mara aniambie nanukia vizuri, mara anapenda wanaume wenye kakitambi ka kishkaji kama kangu, mara aniambie ana hamu... yaani mradi vituko vya kila aina! Ukizingatia tena wajawazito hivyo vinguo wanavyovaaga akikaa hapo mapaja yote nje..! Na siku zinavyozidi kwenda naona ndio hali inazidi kua mbaya. Kwakweli ni mtihani sana.
 
Mwanaume kamili kama tata nyarusare hiyo ni amekupa fursa adimu sana!! shindilia hapo hapo hata siku akikukamata!!

jifanye tu ulijua atakuacha kwa chuki zile!! na nyege zilizidi kipimo ukamla house girl tena chagua kadogodogo kazuri! ataanza kujilaumu mwenyewe! hayo mambo wanfanyaga mtoto wa kwanza huko!!!

AU HUNA bahati na watoto wazuri wazuri nini? utiajutia nafasi hii wewe haya?
 
Mwanaume kamili kama tata nyarusare hiyo ni amekupa fursa adimu sana!! shindilia hapo hapo hata siku akikukamata!!

jifanye tu ulijua atakuacha kwa chuki zile!! na nyege zilizidi kipimo ukamla house girl tena chagua kadogodogo kazuri! ataanza kujilaumu mwenyewe! hayo mambo wanfanyaga mtoto wa kwanza huko!!!

AU HUNA bahati na watoto wazuri wazuri nini? utiajutia nafasi hii wewe haya?
mbona kama nakuelewa
 
mbona kama nakuelewa
Huyo amekupa fursa usilie kabisa!!! singizia kwa akili '' unajua honey!! na hii mimba yako changa mimi niliona bora nilale huko ofisini tu''niliogopa kukuudhi '' halafu kodoa mimacho km hivi....
 
😂😂😂😂😂hujashusha mzigo siku 29 na usipotumia mbinu za kivita za ME kushawishi ili upewe UCHI unaweza kukata miezi sita au zaidi. Mchepuko unakuhusu Mkuu.
Poleni na majukumu na COVID 19 ambayo sisi kama taifa ya JMT tumeamua kukana kuwa kinachotusumbua sio COVID bali na tatizo la upumuaji almaarufu kizungu kama pneumonia.Anyway tuachane na hilo twende kwenye mada.

MADA: Wifi yenu ni mjamzito wa miezi 6 ila cha kushangaza amekuwa na matabia ya ajabu kama mzimu ambapo anapelekea nitamani kumzaba mikofi ama nihame nyumba au nishinde bar. Unakuta ananifanyia matendo yanayoashiria hanipendi hata kuniona ambazo tabia hizo ni ngeni kabisa kwake ukifananisha na enzi zile hana mimba, mbaya zaidi mwenzenu nanyimwa uch.i leo ni siku ya 29 na hii imepelekea kurundikana kwa nye.ge mwilini mwangu ambazo zimezalisha hasira kali mno haswa ukijumLisha na kabila langu la kikurya yaani natamani hata nijambe ili nirelax. Mke wangu imefika point nikitoka kazini narudi home yeye anahama hata chumba analala kwenye chumba cha mtoto wetu wa kiume JUNIOR ambapo nye.ge zinanipelekea kumkufuru MUNGU mpaka naanza kumuonea wivu mwanangu Junior wa miaka 7

ANYWAY,Naomba niulize JE hivi visa vinavyoendelea kwa wake zetu wajawazito ni maigizo,FUTUHI,visasi au ni nini? nauliza hivi kwa sababu enzi za mimba ya JUNIOR mke wangu hakuwa hivi nakumbuka alikuwa anapenda niwe nimelala mapajani mwake huku tunaangalia movie chumbani kwetu leo hii nashangaa mimba hii imeniletea uhasama mpaka shetani wa kuchepuka anashinda masikioni mwangu akininong'oneza ma vitu ya ajabu ajabu.

ANGALIZO: Uzi huu ningependa uchangiwe na wenye wake au wanawake wenyewe ambao wapo kwenye ndoa au wenye experience na ujauzito tena ikibidi zaidi ya mmoja.Na wale wazee wa kutoona siku ndani ya mwezi mbio mpaka kwenye DUKA LA DAWA kwenda kununua MISOPROSAL naombeni mtoe like kwenye uzi na comments za wadau tajwa hapo juu

KARIBUNI TUJIFUKIZE KWENYE HUU UZI.
 
Back
Top Bottom