floow
JF-Expert Member
- Mar 20, 2017
- 411
- 855
Jamani naomba mnisaidie tabia za huyu mwanamke kabla sijafika mbali. Mavazi yake siyaelewi kabisa mda mwingi anavaa mashati ya kiume, yani atavaa suruali ya kike /sketi juu anavaa shati la kiume.
Mwanzo nilikua nachukulia poa, Jana kaja geto tumecheza mchezo wetu kama kawaida. anavoondoka akaomba aondoke na tsht yangu. Sikuona ubaya nikamruusu achukue.
Sasa maswali niliyobaki nayo;
Huu ni mchezo wake kuchukua nguo kwa wanaume?
Huenda akawa Malaya?
Naomba mnisaidie jamani hiyo hali nyinyi mnaitafakari vipi?