Hizi taasisi zisizo za kiserikali (NGO's), hazina adabu

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,661
18,035
Mamilioni ya watanzania walikuwa wanaomba sana familia ya Babu Seya wasamehewe.

Hata nakumbuka mgombea wa urais wa ukawa alilifanya kama sehemu ya kampeni kuwa akiingilia madarakani "atashughulikia" suala la babu Seya.

Hii ni kwa sababu aliona watu wengj wangependa ndug u hawa waachiwe.

Binafsi sisemi kama walifungwa kwa halali au vinginevyo. Rais hajabatilisha hukumu bali amewasamehe kwa mujibu wa mamlaka yake ya kikatiba! Kama ungekuwa wewe umesamehewa ungelalamika? Sote tunahitaji msamaha kwa njia moja au nyingine!

Sasa hawa wenzetu na vi-ngo vyao uchwara kwa kutaka kuwafurashisha mabwana zao wazungu ambao Mara nyingi ndo wafadhili wao, eti wanamlalamikia kuwaachia huru wabakaji wa watoto!

Ukweli ni kuwa rais hajawaachia huru ila AMEWASAMEHE! Kuna tofauti kubwa! Kuamru aachiwe huru aliyefungwa ni kinyume na katiba, lakini kumsamehe aliyefungwa na mamlaka ya rais ya kikatiba! Oneni uharo wao huko BBC:

Children's rights activists have condemned the pardon of two child rapists by the Tanzanian president.Kate McAlpine, director of the Arusha-based Community for Children Rights, told the BBC she was "horrified but unsurprised".John Magufuli made the pardon inhis independence day speech on Saturday.

Mimi nasema: It is not a pardon, but a forgiveness which is constitutional! Hata kama matokeo ya kufunguliwa na kusamehewa ni Yale Yale ya kuwa huru, lakini implication yake ni tofauti kabisa! Moja ni kuingilia mahakama kinyume cha sheria nyingine ni sehemu ya madaraka ya rais ya kikatiba!

Halafu hawa wazungu na vibaraka wao wasituingilie kwa rais wetu! Mbona sisi hatuingilii uchafu wao wakati viongozi wao wanaporuhusu kugeukiana waume kwa waume au wake kwa wake, halafu wanapitisha hizo sheria za ufirauni kwa kushangilia kabisa, kama walivyofanya hivi karibuni huko Canada na Australia!

Uingereza na Marekani(baadhi ya majimbo) ambapo wameruhusu rasmi ndoa za jinsia moja? Watukome! Nyie NGO's uchwara, njaa yenu msiiruhusu kuleta fedheha na dharau kwa rais wetu!

Akiwafungia msianze kulia lia, mnayataka wenyewe! Hivi ni kweli mnaaminu anayesamehewa huwa si mkosaji?

Kumsamehe haina maana kosa lake ni dogo la hasha! Ila pamoja na kosa lake ameona amsamehe!

Halazimiki kutoa maelezo kwa nini amemsamehe! Hakuna kitu kizuri kama kusamehe hata kama kosa ni kubwa!
 
Mamilioni ya watanzania walikuwa wanaomba sana familia ya Babu Seya wasamehewe. Hata nakumbuka mgombea wa urais wa ukawa alilifanya kama sehemu ya kampeni kuwa akiingilia madarakani "atashughulikia" suala la babu Seya. Hii ni kwa sababu aliona watu wengj wangependa ndug u hawa waachiwe. Binafsi sisemi kama walifungwa kwa halali au vinginevyo. Rais hajabatilisha hukumu bali amewasamehe kwa mujibu wa mamlaka yake ya kikatiba! Kama ungekuwa wewe umesamehewa ungelalamika? Sote tunahitaji msamaha kwa njia moja au nyingine!
Sasa hawa wenzetu na vi-ngo vyao uchwara kwa kutaka kuwafurashisha mabwana zao wazungu ambao Mara nyingi ndo wafadhili wao, eti wanamlalamikia kuwaachia huru wabakaji wa watoto!
Ukweli ni kuwa rais hajawaachia huru ila AMEWASAMEHE! Kuna tofauti kubwa! Kuamru aachiwe huru aliyefungwa ni kinyume na katiba, lakini kumsamehe aliyefungwa na mamlaka ya rais ya kikatiba! Oneni uharo wao huko BBC:
Children's rights activists have condemned the pardon of two child rapists by the Tanzanian president.Kate McAlpine, director of the Arusha-based Community for Children Rights, told the BBC she was "horrified but unsurprised".John Magufuli made the pardon inhis independence day speech on Saturday.
Mimi nasema: It is not a pardon, but a forgiveness which is constitutional! Hata kama matokeo ya kufunguliwa na kusamehewa ni Yale Yale ya kuwa huru, lakini implication yake ni tofauti kabisa! Moja ni kuingilia mahakama kinyume cha sheria nyingine ni sehemu ya madaraka ya rais ya kikatiba!
Halafu hawa wazungu na vibaraka wao wasituingilie kwa rais wetu! Mbona sisi hatuingilii uchafu wao wakati viongozi wao wanaporuhusu kugeukiana waume kwa waume au wake kwa wake, halafu wanapitisha hizo sheria za ufirauni kwa kushangilia kabisa, kama walivyofanya hivi karibuni huko Canada na Australia! Uingereza na Marekani(baadhi ya majimbo) ambapo wameruhusu rasmi ndoa za jinsia moja? Watukome! Nyie NGO's uchwara, njaa yenu msiiruhusu kuleta fedheha na dharau kwa rais wetu! Akiwafungia msianze kulia lia, mnayataka wenyewe! Hivi ni kweli mnaaminu anayesamehewa huwa si mkosaji? Kumsamehe haina maana kosa lake ni dogo la hasha! Ila pamoja na kosa lake ameona amsamehe! Halazimiki kutoa maelezo kwa nini amemsamehe! Hakuna kitu kizuri kama kusamehe hata kama kosa ni kubwa!
acha lugha mbaya, uharo ameunya baba yako. Jiepushe na lugha ya matusi.
 
Tatizo hata wewe mwenye akili fupi kama maisha ya funza unajifanya unajua kuchambua.. Ukweli ni kwamba ukiachana na mambo ya kisiasa kwa hali ya kawaida msamaha wa babu seya siyo haki na ni pigo kwa watu na NGOs zinazotetea haki za watoto.!
Ningemuelewa kama swala lake lingerudi mahakamani na kifanyiwa review kwa kuwa yeye (magu) anajua babu seya kaonewa angetoa ushahidi wa kuonewa kwake hadharani ili umma ujue kaonewa... Kuwa ajenda ya lowasa haibatilishi ukweli.
 
Dhana ya kusamehe iwepo kote; why Babu Seya na si wabakaji wote?

Pia kumbuka usiwahukumu vibaya wanaokukosoa huwezi kujua may be mwenyezi Mungu kawatuma wafikishe ujumbe kwako.

Soma maandiko matakatifu yale yaliyomkuta Sauli kwa kutumia madaraka yake vibaya.
 
Ikiwa wewe unafurahia kusamehewa je waliofanyiwa vitendo hivyo nao watafurahia
Na wao inabidi wajifunze kusamehe! Huwezi kukaa na kinyongo kwa miaka yote 13! Maisha ni mzunguko! Na wao wanaweza kujikuta wanahitaji sana kusamehewa siku moja. Hakuna ambaye ni malaika! Wakishasamehewa na Rais maana yake na sisi tumewasamehe! Tusijadili tena makosa yao!
 
Maswali sumbufu

Wale watoto waliolawitiwa na kubakwa wako wapi?

Je familia nzima ya Nguza ni wabakaji? Inawezekanaje?

Kwanini katiba inaruhusu Rais kusamehe?
 
Maswali sumbufu

Wale watoto waliolawitiwa na kubakwa wako wapi?

Je familia nzima ya Nguza ni wabakaji? Inawezekanaje?

Kwanini katiba inaruhusu Rais kusamehe?
Mwalimu alishawahi kutuonya kuhusu katiba yetu; mtu mmoja anaweza akiamua kutuchapa fimbo wote na hakuna mamlaka ya kuhoji.
 
Tatizo hata wewe mwenye akili fupi kama maisha ya funza unajifanya unajua kuchambua.. Ukweli ni kwamba ukiachana na mambo ya kisiasa kwa hali ya kawaida msamaha wa babu seya siyo haki na ni pigo kwa watu na NGOs zinazotetea haki za watoto.!
Ningemuelewa kama swala lake lingerudi mahakamani na kifanyiwa review kwa kuwa yeye (magu) anajua babu seya kaonewa angetoa ushahidi wa kuonewa kwake hadharani ili umma ujue kaonewa... Kuwa ajenda ya lowasa haibatilishi ukweli.
Hakuna NGO inayotetea haki za watoto kwa maana halisi; hawa wanaganga njaa zao tu kwa kujikomba kwa wafadhili wao! Huwezi kunishawishi kuwa hao wana uchungu na watoto kumpita rais wetu! Angekuwa ni baba yako kasamehewa ungekasirika? Kumsamehe mtu maana yake si kwamba kosa lake ni dogo, kusamehe ni upendo! It takes a powerful person to forgive! Najisikia fahari sana kuwa na rais anayeweza kusamehe! Maombi ya watanzania yameanza kulipa!
 
Hii issue ni bonge la controversy!!

Acheni tu hizi habari jamaa wameachiwa basi ila jambo hilo lina mambo mengi I mean, positive and negative impacts in near future and future.
 
Kuna watu kila anachosema mzungu ni kama maneno ya msahafu.
wazungu ndio wamewaweka mjini wewe na baba yako mumeshindwa hata kununua chanjo za watoto,dawa za ukimwi na hata njia za uzazi wa mpango so uwe na adabu na wazungu wanaokufanya uendeshe mibenzi na kutamba hapa mjini
 
Hakuna NGO inayotetea haki za watoto kwa maana halisi; hawa wanaganga njaa zao tu kwa kujikomba kwa wafadhili wao! Huwezi kunishawishi kuwa hao wana uchungu na watoto kumpita rais wetu! Angekuwa ni baba yako kasamehewa ungekasirika? Kumsamehe mtu maana yake si kwamba kosa lake ni dogo, kusamehe ni upendo! It takes a powerful person to forgive! Najisikia fahari sana kuwa na rais anayeweza kusamehe! Maombi ya watanzania yameanza kulipa!
kama mkuu wa mkoa wa Dar es salaam anavyoganga njaa nakuomba omba kwa akina GSM, NGos zinacontribution kubwa sana kuliko walionunua vivuko vibobu na kuvificha jeshi la majini
 
Hakuna NGO inayotetea haki za watoto kwa maana halisi; hawa wanaganga njaa zao tu kwa kujikomba kwa wafadhili wao! Huwezi kunishawishi kuwa hao wana uchungu na watoto kumpita rais wetu! Angekuwa ni baba yako kasamehewa ungekasirika? Kumsamehe mtu maana yake si kwamba kosa lake ni dogo, kusamehe ni upendo! It takes a powerful person to forgive! Najisikia fahari sana kuwa na rais anayeweza kusamehe! Maombi ya watanzania yameanza kulipa!
Unatafuta uteuzi tu hakuna kingine
 
wazungu ndio wamewaweka mjini wewe na baba yako mumeshindwa hata kununua chanjo za watoto,dawa za ukimwi na hata njia za uzazi wa mpango so uwe na adabu na wazungu wanaokufanya uendeshe mibenzi na kutamba hapa mjini
Kumbe mpo wengi?
 
NGO zinasaidia kukuza uchumi kwa kuingiza pesa toka nje kuliko kuchukua pesa za ndani ya nchi
 
Back
Top Bottom