Hizi taasisi zisizo za kiserikali (NGO's), hazina adabu

NGO zinasaidia kukuza uchumi kwa kuingiza pesa toka nje kuliko kuchukua pesa za ndani ya nchi

Mwambie uyo Mpuuzi anajua umuhimu wa NGO Uyo

Anajua ni ajira ngapi zimetengenezwa

Tukifunga shule vyuo hospital na misaada mtaweza kupata hata ARV

SHENZI SANAAA
 
Lakini ukija kwenye uhalisia unakuta kuwa mwenye haki ya kusamehe ni yule aliyekosewa........

Unasamehe vipi kwa niaba ya aliyekosewa bila ya idhini yaaliyekosewa........

Ndio kusema raisi yeye anawakilisha mioyo ya wahanga wa hilo tukio.....!!?

Kimsingi hili suala limeleta haki kwa upande mmoja huku limedhurumu haki kwa upande mwingine........

Madhila yaliyosababishwa na hao wasamehewa ni ya kudumu ( kama kweli wamewayatenda hayo).......
 
Sheria yenyewe inaitwa presidential pardon, wewe kilaza usiejua sheria unaita forgiveness jifunze kusoma kwanza vitu kama hauwezi uliza...
 
Mamilioni ya watanzania walikuwa wanaomba sana familia ya Babu Seya wasamehewe.

Hata nakumbuka mgombea wa urais wa ukawa alilifanya kama sehemu ya kampeni kuwa akiingilia madarakani "atashughulikia" suala la babu Seya.

Hii ni kwa sababu aliona watu wengj wangependa ndug u hawa waachiwe.

Binafsi sisemi kama walifungwa kwa halali au vinginevyo. Rais hajabatilisha hukumu bali amewasamehe kwa mujibu wa mamlaka yake ya kikatiba! Kama ungekuwa wewe umesamehewa ungelalamika? Sote tunahitaji msamaha kwa njia moja au nyingine!

Sasa hawa wenzetu na vi-ngo vyao uchwara kwa kutaka kuwafurashisha mabwana zao wazungu ambao Mara nyingi ndo wafadhili wao, eti wanamlalamikia kuwaachia huru wabakaji wa watoto!

Ukweli ni kuwa rais hajawaachia huru ila AMEWASAMEHE! Kuna tofauti kubwa! Kuamru aachiwe huru aliyefungwa ni kinyume na katiba, lakini kumsamehe aliyefungwa na mamlaka ya rais ya kikatiba! Oneni uharo wao huko BBC:

Children's rights activists have condemned the pardon of two child rapists by the Tanzanian president.Kate McAlpine, director of the Arusha-based Community for Children Rights, told the BBC she was "horrified but unsurprised".John Magufuli made the pardon inhis independence day speech on Saturday.

Mimi nasema: It is not a pardon, but a forgiveness which is constitutional! Hata kama matokeo ya kufunguliwa na kusamehewa ni Yale Yale ya kuwa huru, lakini implication yake ni tofauti kabisa! Moja ni kuingilia mahakama kinyume cha sheria nyingine ni sehemu ya madaraka ya rais ya kikatiba!

Halafu hawa wazungu na vibaraka wao wasituingilie kwa rais wetu! Mbona sisi hatuingilii uchafu wao wakati viongozi wao wanaporuhusu kugeukiana waume kwa waume au wake kwa wake, halafu wanapitisha hizo sheria za ufirauni kwa kushangilia kabisa, kama walivyofanya hivi karibuni huko Canada na Australia!

Uingereza na Marekani(baadhi ya majimbo) ambapo wameruhusu rasmi ndoa za jinsia moja? Watukome! Nyie NGO's uchwara, njaa yenu msiiruhusu kuleta fedheha na dharau kwa rais wetu!

Akiwafungia msianze kulia lia, mnayataka wenyewe! Hivi ni kweli mnaaminu anayesamehewa huwa si mkosaji?

Kumsamehe haina maana kosa lake ni dogo la hasha! Ila pamoja na kosa lake ameona amsamehe!

Halazimiki kutoa maelezo kwa nini amemsamehe! Hakuna kitu kizuri kama kusamehe hata kama kosa ni kubwa!
Tuko pamoja mkuu,binafsi sipendi NGOs kabisa,kwa kuwa agenda zao sio rafiki kwetu.Kwanza sijui kwa nini hatujiulizi,mabwana zao wanaowafadhili ndio hao hao wanaotuibia rasilimali zetu,how come tena eti hao hao ndio wanajifanya wanatusaidia katika mambo mbali mbali ya kijamii nk.through the so called NGOs!Hapana, kuna hila tena iliyowazi.Nasema ukweli wangu,ningekuwa mimi ndiye Rais ningewafurushia mbali.They are lucky.This is extreme hipocricy and typical luciferian character,kuuma na kupulizia.
 
Back
Top Bottom