Hizi taasisi EAC, SADC na AU huwa chaguzi zote kwao ziko OK

Taasisi kama EAC tangu waanze kuwa na waangalizi wa Uchaguzi hawajawahi kukosoa uchaguzi wa ncho yoyote ndani ya jumuia, wao chaguzi hata zile za Burundi kwao huwa ziko sawa kabisa na hawaonaga tatizo.

SADC chaguzi kama za Zimbabww enzi za Mugabe walikuwa wanakubaliana na hawakuwaho kukosoa zile chaguzi.

AU nao sina kumbukumbu ndani ya Africa kama walisha wahi kukosoa uchaguzi.

Hawa huwa ni geresha tu hawana msaada ni magenge ya Kiafrica ya ku undermine Democracy ya Africa.
Kwa hiyo hata kama zipo fair waseme uongo? Chadema kubwagwa chini ndio iwe sababu ya uchaguzi kuwa sio fair.
 
Taasisi kama EAC tangu waanze kuwa na waangalizi wa Uchaguzi hawajawahi kukosoa uchaguzi wa ncho yoyote ndani ya jumuia, wao chaguzi hata zile za Burundi kwao huwa ziko sawa kabisa na hawaonaga tatizo.

SADC chaguzi kama za Zimbabww enzi za Mugabe walikuwa wanakubaliana na hawakuwaho kukosoa zile chaguzi.

AU nao sina kumbukumbu ndani ya Africa kama walisha wahi kukosoa uchaguzi.

Hawa huwa ni geresha tu hawana msaada ni magenge ya Kiafrica ya ku undermine Democracy ya Africa.
Taasisi zote a Kiafrika sio za kuaminika.
 
Back
Top Bottom