Hizi taasisi EAC, SADC na AU huwa chaguzi zote kwao ziko OK

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,472
8,692
Taasisi kama EAC tangu waanze kuwa na waangalizi wa Uchaguzi hawajawahi kukosoa uchaguzi wa ncho yoyote ndani ya jumuia, wao chaguzi hata zile za Burundi kwao huwa ziko sawa kabisa na hawaonaga tatizo.

SADC chaguzi kama za Zimbabww enzi za Mugabe walikuwa wanakubaliana na hawakuwaho kukosoa zile chaguzi.

AU nao sina kumbukumbu ndani ya Africa kama walisha wahi kukosoa uchaguzi.

Hawa huwa ni geresha tu hawana msaada ni magenge ya Kiafrica ya ku undermine Democracy ya Africa.
 
Kwa AU, SADC kwao hata wafe nchi nzima watasema uchaguzi ulikuwa wa huru na haki almradi abaki rais wanayemtaka.
 
Lisu amepata kura million 1.9 na kiherehere chake chote kile na JPM and SS million 12 na ushee. Heko Watanzania kwa uamuzi wenu mzuri ambao umeleta ushindi usio na mashaka. Safi sana CCM juu kwa juu mbele kwa mbele.
Kwa uchaguzi upi.
 
Tundu Lissu Kampeni miezi miwili kura 1.9m,je angefanya miezi 60 angepata ngapi?
 
Taasisi kama EAC tangu waanze kuwa na waangalizi wa Uchaguzi hawajawahi kukosoa uchaguzi wa ncho yoyote ndani ya jumuia, wao chaguzi hata zile za Burundi kwao huwa ziko sawa kabisa na hawaonaga tatizo.

SADC chaguzi kama za Zimbabww enzi za Mugabe walikuwa wanakubaliana na hawakuwaho kukosoa zile chaguzi.

AU nao sina kumbukumbu ndani ya Africa kama walisha wahi kukosoa uchaguzi.

Hawa huwa ni geresha tu hawana msaada ni magenge ya Kiafrica ya ku undermine Democracy ya Africa.
Birds of a feather fly together, all these wasengez have the same ways of rigging their erections oooh elections
 
Taasisi kama EAC tangu waanze kuwa na waangalizi wa Uchaguzi hawajawahi kukosoa uchaguzi wa ncho yoyote ndani ya jumuia, wao chaguzi hata zile za Burundi kwao huwa ziko sawa kabisa na hawaonaga tatizo.

SADC chaguzi kama za Zimbabww enzi za Mugabe walikuwa wanakubaliana na hawakuwaho kukosoa zile chaguzi.

AU nao sina kumbukumbu ndani ya Africa kama walisha wahi kukosoa uchaguzi.

Hawa huwa ni geresha tu hawana msaada ni magenge ya Kiafrica ya ku undermine Democracy ya Africa.
Nyie na mabeberu mabwana zenu kila chaguzi zinakasoro except upinzani ukishinda ndo zinakua huru na haki! Kwa walichotufanyia wapunge wa upinzani na hizo Sera za lissu, kuwapeleka bungeni in kipoteza kodi zetu bure tu!
 
Taasisi kama EAC tangu waanze kuwa na waangalizi wa Uchaguzi hawajawahi kukosoa uchaguzi wa ncho yoyote ndani ya jumuia, wao chaguzi hata zile za Burundi kwao huwa ziko sawa kabisa na hawaonaga tatizo.

SADC chaguzi kama za Zimbabww enzi za Mugabe walikuwa wanakubaliana na hawakuwaho kukosoa zile chaguzi.

AU nao sina kumbukumbu ndani ya Africa kama walisha wahi kukosoa uchaguzi.

Hawa huwa ni geresha tu hawana msaada ni magenge ya Kiafrica ya ku undermine Democracy ya Africa.
Mwizi anamkamataje mwizi?
 
Hili ni bara la giza.

Umasikini, UJINGA, maradhi, vita, all shit you can find it here under one roof.
 
Toeni taarifa yenu na nyie wao siwametoa yao tatizo liko wapi au mnawapangia nao pia kama mlivyojipangia kuwa mtatawala nchi hii??
 
Sasa unataka waseme sio okay wakati zipo okay?

Hongera Mgufuli, Hongera Mwinyi ,Hongera CCM
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Back
Top Bottom