Hizi Taarifa zimewafurahisha wanawake wengi EX- galfriend wangu kanitafuta kwa Bashasha Baada ya kuzisikia

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Oct 31, 2014
5,321
11,386
Wadau nmegundua asilimia ya wanawake 80 hawapendi kabisa kutumia tube, soksi au condom. Hawapendi. Mimi nmekuwa nikigombana nao sana kuanzia ma EX wangu na hata wanaokuja patikana wapya. Yaani Condom wanazichukia sana wanadai zinawachubua, zinapunguza utam n.k

Binafsi mimi nipo tayari kuahirisha mechi kama hamna ndom.hata tupime mara mia sitembelei RIM hata siku moja.

Sasa hizi habari ZILIZOTANGAZWA NA BBC KUWA WAATHIRIKA WA UMEME/NGOMA WAKIPANDIKIZWA UBOO WANAPONA. Zimewagusa wanawake wengi sana.

Wengi waliokuwa magalfriend wananitumia texts wakinambia sasa nisiwabanie maana hawana wasiwasi watapandikizwa Uboo so niache kuwa mwoga mtoto wa kiume.niwatafute sasa niwachape nao LIVE.

Nmewaza hivi na huku TZ inawezekana kuwapandikizia watu Uboo wakapona ukimwi? Hapa sasa wadada si watakuwa wanajiachia tu?coz wanajua uboo upo tu mwingi?

Anyway...mimi nmesema siachi kutumia kinga hata iweje.wacha wanaotegemea uboo waendelee tu.mimi siuzi mechi...sitembelei Rim hata iweje
 
Jifunze uandishi mzee.
Heading ndefu sana.
Pia jifunze kupangilia mawazo yako vizuri.
Mwisho. Asante kwa taarifa.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom