Hizi taarab zenu zimejaa matusi mno!

tpaul

JF-Expert Member
Feb 3, 2008
21,488
17,688
Ijapokuwa mimi sio mpenzi wa haya manyimbo ya taarab lakini nimepata kusikia kipande kwenye mashairi ya mzee yusuf ambayo yamenisikitisha sana.

Mzee yusuf (MY) alikuwa akiimba huku akiitikiwa na dada (DD) mmoja:

MY: Mpenzi wangu nipe rahaaaa!

DD: Nipe raha mpaka nikojoeeee!

Ndugu zangu, hii maana yake ni nini? Kwa nini jamii inalazimishwa kusikilizishwa matusi huku vyombo vinavyohusika na sanaa nchini (BASATA na/au COSOTA) vikiwa kimya?

Na ni bahati mbaya kwamba wadau wakubwa wa hizi taarab ni kinamama na watoto. Tunawafundisha nini watoto wetu kwa hizi nyimbo za matusi?

MAJANGA!
 
Teh tehh. Hata mimi sio mpenzi lakini nimejikuta nacheka. Jana mimemsikia mzee yussuf anasema kitu kama kwishnei ----. Nikastuka. Anyway nikasema na baridi hii nisije kuwa naskia kitu roho inapenda kimbe sio.
 
matusi au wewe umeyatafsir kuwa matusi? We hukojoi?

Watani zangu Wahehe wao husema"WE NIANGUSAGE TU" manyimbo yametuharibia dada zetu wa kisukuma siku hizi utawaona kwenye sendoff na kitchen party wanaweka viti katikati ya miduara na kusaula hovyo tu...zamani nyimbo za akina marehem Matola zilikuwa na mafumbo yaliyojificha sana ukilinganisha na nyimbo za mashuuuuz taarab....muziki mzuri ila maneno sasa...kama serikali inaweza kuzuia nguo za ndani za mtumba inshindwa nini kufungia bendi kama sio tracks hizi...
 
Ndio mana mie napenda zile za kina bi kidude...

Japo wanatukana ila tusi hadi kulielewa kazi si ndogo.

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
jamani kitu kinageuka kibaya kutokana na tafsir yako mwenyewe...labda ye alimaanisha ampe maji asafishe kibofu..mwishoni kukojoa....
 

Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom