Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 20,517
- 30,587
Tender imeshatangazwa ?Mjuu unajua bei ya nguzo moja ya chuma ya hizo taa? Hii sio taa wanayoenda kufunga kwenye socket nyumbani. Na si kila kitu ulichoona Alibaba bei rahisi kina ubora wa kununuliwa au ndio bei elekezi. Waacheni watu wafanye kazi.