Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

Swala sio uzuri na gharama ya kuweka, je Temeke hospital kuna dawa za kutibu watu bure? Wazee wanaambiwa wakanunue dawa, hiyo barabarani mbele yake, ikoje, nusu km ya lami ni sh 120 milioni je ni busara kutumia fedha hizo kuweka taa???kama maskini hana viatu ila ananunua shati la sh 500,000 (yapo) je ni busara?
Unajua maana ya fund allocation? Ukijua hilo huwez anza kulazimisha fedha za ujenzi na ukarababati wa miundombinu ikanunue aspirn.
 
Yeye kipaumbele chake ni taa tu aisee

Si kwenda Taifa tu mkuu kifupi ni kwamba Tmk nzima haina barabara zote zimechoka sana. Hakuna anayesema hiyo 100m itajenga barabara lakini kwa hiki anachofanya DC kwa hizo kodi zetu tunapata wasiwasi na vipaumbele vyetu kama viko sawa.Yapo mengi ya kuanza nayo kwa DC mpya Tmk ila hili la taa halikupaswa kuwa mojawapo.
 
Sajili lain yako ya uwakala kwa MAJINA yako
Tgo pesa 120000/
Airtelmoney 60000/
Halopesa 25000/
M-pesa 145000/
M lipa 50000/
Malipo baada ya kazi
Halafu si nasikia badae mnawazunguka wateja wenu wakiweka pesa mnakwiba yaan mnafanya transaction au wewe sio wa hivyo mkuu?
 
ameongea kana kwamba ni mtaa mzima kumbe ni taa 32 tu nje ya ofisi yake hiyo hata fundi maiko anafanya kazi yeye kaweka process nzima wakati joketi mwenyewe anasema itachukua week 2 tu ukiingia jiji,.com kuna hadi taa za 250,000 tena solar

kwa hiyo taa yake moja ya milioni 3 inanaunua hizo taa 12 roughly anapata taa 300 kwa milioni 100 au tufanye taa 200 gharama zinazobaki za mafundi na vifa vingine si anawasha huo mtaa mzima?
Serikali hainunui hizo taa zenu feki
 
Duuh, na cc watz kwa kweli!?! tunalalamikia milioni miamoja na mbili kwa kitu ambacho utakion na kizuri tena wilaya ya Temeke yenye vyanzo vingi tu vya mapato je mtu wa wilaya ya buhigwe si atalalamikia hata hospitali!?!

Wajameni hizo taa hata wewe ukiteuliwa kuwa mkuu wa wilaya hiyo sidhani kama utazing'oa uweke karabai. Chapeni kazi mjenge nchi na pia mjenge purchasing power zenu ili msiwe mnalalamikia hata vitu vidogovidogo tu.

Anyway mwenye fungu ni mkurugenzi akiona ni expensive ataomba ushauri kweny baraza la madiwani nafikiri na mleta uzi ni diwani utakataa
Ulichoandika na alichouliza mtoa mada mbona tofauti
 
Umeangalia tu taa kama taa kwa maana ya balbu na cover yake au?. Kuna solar system hapo, kuna sensing system ya kujua kama ni mchana au jioni, kuna mlingoti wa chuma na zege la kuweka, gharama za vibarua. Umewaza yote hayo? Pia nilitegemea ungeleta estimation ya gharama ambazo unadhani zingekuwa sahihi. Kusema m 3 ni nyingi bila kuwa reference point inakuwa haieleweki, nyingi ukilingalisha na nini? Hiyo ni relative term
Kwa uelewa wangu estimations ya kufanya hivyo haizidi 1.5M kwa taa moja
 
Bola huyu analeta taa tunaziona,na usiku zinatupa mwanga .je wengine wanaozichota mi millions of money hazina,halafu wanaandikia kazi maalum ! tuonyesheni kazi gani hiyo maalum,wanasema kazi maalum tu,pumbavu zaaaoooo!
 
Kwa uelewa wangu estimations ya kufanya hivyo haizidi 1.5M kwa taa moja
Mkuu nguzo moja ya taa 6m ambayo ni galvernized class C ni TZS 1.6milioni au angalia nguzo za Fumagali hapo bado kujengea base/kitako; bado taa yenyewe; bado ufundi; bado faida ya mkandarasi; bado general attendance na makorokocho kibao.
Hizo taa unazoziana barabarani za solar zinazozima zima sana ndiyo gharama ya taa moja ni TZS 2.9Milioni ila kwa taa bora nizazozijua mimi ni 4Milioni na wenda mh DC alijichanganya akasema ni 3milioni.
 
Si kwenda Taifa tu mkuu kifupi ni kwamba Tmk nzima haina barabara zote zimechoka sana. Hakuna anayesema hiyo 100m itajenga barabara lakini kwa hiki anachofanya DC kwa hizo kodi zetu tunapata wasiwasi na vipaumbele vyetu kama viko sawa.Yapo mengi ya kuanza nayo kwa DC mpya Tmk ila hili la taa halikupaswa kuwa mojawapo.
Hakika mkuu lakini ndiyo viongozi wetu hawa
 
Back
Top Bottom