Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,266
- 4,716
Jengo la DC. Halikarabatiwi kwa fedha ya DEDAnyway mwenye fungu ni mkurugenzi akiona ni expensive ataomba ushauri kweny baraza la madiwani nafikiri na mleta uzi ni diwani utakataa
Jengo la DC. Halikarabatiwi kwa fedha ya DEDAnyway mwenye fungu ni mkurugenzi akiona ni expensive ataomba ushauri kweny baraza la madiwani nafikiri na mleta uzi ni diwani utakataa
Unajua maana ya fund allocation? Ukijua hilo huwez anza kulazimisha fedha za ujenzi na ukarababati wa miundombinu ikanunue aspirn.Swala sio uzuri na gharama ya kuweka, je Temeke hospital kuna dawa za kutibu watu bure? Wazee wanaambiwa wakanunue dawa, hiyo barabarani mbele yake, ikoje, nusu km ya lami ni sh 120 milioni je ni busara kutumia fedha hizo kuweka taa???kama maskini hana viatu ila ananunua shati la sh 500,000 (yapo) je ni busara?
Yeye kipaumbele chake ni taa tu aisee
Halafu si nasikia badae mnawazunguka wateja wenu wakiweka pesa mnakwiba yaan mnafanya transaction au wewe sio wa hivyo mkuu?Sajili lain yako ya uwakala kwa MAJINA yako
Tgo pesa 120000/
Airtelmoney 60000/
Halopesa 25000/
M-pesa 145000/
M lipa 50000/
Malipo baada ya kazi
Zinatumia jua BossNani atagharimia hiyo bili ?!!!
Hapana mkuu sifanyi hyo mkuuHalafu si nasikia badae mnawazunguka wateja wenu wakiweka pesa mnakwiba yaan mnafanya transaction au wewe sio wa hivyo mkuu?
Sawa mjuajiUmeandika ujinga na kijifanya unajua kumbe huna unachojua kazi kupotosha.
Serikali hainunui hizo taa zenu fekiameongea kana kwamba ni mtaa mzima kumbe ni taa 32 tu nje ya ofisi yake hiyo hata fundi maiko anafanya kazi yeye kaweka process nzima wakati joketi mwenyewe anasema itachukua week 2 tu ukiingia jiji,.com kuna hadi taa za 250,000 tena solar
kwa hiyo taa yake moja ya milioni 3 inanaunua hizo taa 12 roughly anapata taa 300 kwa milioni 100 au tufanye taa 200 gharama zinazobaki za mafundi na vifa vingine si anawasha huo mtaa mzima?
Wamekariri vitaa feki huko mtandaoniTaa za kawaida za solar mnazoziona kwenye barabara nyingi nchini zinauzwa mil.2.5-3 na zina betri yenye guarantee ya miaka 2-5 na zinatofautiana
Kwa hiyo mnavyoonaga kuna taa za solar za barabarani unajua ni laki 2? Umaskini ni mbaya sana.
Ulichoandika na alichouliza mtoa mada mbona tofautiDuuh, na cc watz kwa kweli!?! tunalalamikia milioni miamoja na mbili kwa kitu ambacho utakion na kizuri tena wilaya ya Temeke yenye vyanzo vingi tu vya mapato je mtu wa wilaya ya buhigwe si atalalamikia hata hospitali!?!
Wajameni hizo taa hata wewe ukiteuliwa kuwa mkuu wa wilaya hiyo sidhani kama utazing'oa uweke karabai. Chapeni kazi mjenge nchi na pia mjenge purchasing power zenu ili msiwe mnalalamikia hata vitu vidogovidogo tu.
Anyway mwenye fungu ni mkurugenzi akiona ni expensive ataomba ushauri kweny baraza la madiwani nafikiri na mleta uzi ni diwani utakataa
Yaani achukue taa feki ili Serikali ije ipate kashfa ili mpate la kuongea siyo?jamani taa 32 kwa ajili ya nje ya ofisi yake tu? basi hizo za milioni 3 achukue 10 kwa ajili ya ofisi yake, hizi za 600,000 achukue taa mia moja afunge mtaa mzima kwa wananchi
View attachment 1836049
Kwa uelewa wangu estimations ya kufanya hivyo haizidi 1.5M kwa taa mojaUmeangalia tu taa kama taa kwa maana ya balbu na cover yake au?. Kuna solar system hapo, kuna sensing system ya kujua kama ni mchana au jioni, kuna mlingoti wa chuma na zege la kuweka, gharama za vibarua. Umewaza yote hayo? Pia nilitegemea ungeleta estimation ya gharama ambazo unadhani zingekuwa sahihi. Kusema m 3 ni nyingi bila kuwa reference point inakuwa haieleweki, nyingi ukilingalisha na nini? Hiyo ni relative term
Nairobi hizo kubwa ni 7000kshmwisho wa siku utaenda kukuta zinawekwa kama hizi za 600,000 kila moja...kwa milioni 10 akiweka hata za laki 3 si anawasha huo mtaa mzima kabisa ? sasa bajeti yake ni 3,187,000 kwa taa moja
View attachment 1835971
Weka picha tukione kuna Vyoo vya hadhi.Jokate alijenga choo kimoja kwa tsh 40,000,000 pale Kisarawe!
Najua mkuu..Zinatumia jua Boss
Bai iko sawa hizo ni za solar complete ndiyo bei zakeAu labda ni teknolojia kama ya Mossad , CIA? isije ikawa zina satellite ndani, taa 32 kwa milioni 102 ukipiga hesabu ni kama vile taa moja ni tshs 3,187,000.
View attachment 1835927View attachment 1836188
Mkuu nguzo moja ya taa 6m ambayo ni galvernized class C ni TZS 1.6milioni au angalia nguzo za Fumagali hapo bado kujengea base/kitako; bado taa yenyewe; bado ufundi; bado faida ya mkandarasi; bado general attendance na makorokocho kibao.Kwa uelewa wangu estimations ya kufanya hivyo haizidi 1.5M kwa taa moja
Hakika mkuu lakini ndiyo viongozi wetu hawaSi kwenda Taifa tu mkuu kifupi ni kwamba Tmk nzima haina barabara zote zimechoka sana. Hakuna anayesema hiyo 100m itajenga barabara lakini kwa hiki anachofanya DC kwa hizo kodi zetu tunapata wasiwasi na vipaumbele vyetu kama viko sawa.Yapo mengi ya kuanza nayo kwa DC mpya Tmk ila hili la taa halikupaswa kuwa mojawapo.