Hizi taa za Jokate Mwegelo mbona bei ghali hivyo jamani au zina link na satelites?

Tatizo sio gharama za kuweka taa kwenye ofisi ya DC ila je ktk wilaya ya temeke hakuna matatizo yanayoweza kutatuliwa na hizo 100m mfano kununua gari la wagonjwa, gari la kubeba taka, kulipa staff wa kujitolea kwenye sector za elimu na afya
hilo ndilo swali langu haswa, milioni 100 inaweza saidia kupunguza hata kero ya takataka au kitu kifaidisha hata kata nzima
 
mwisho wa siku utaenda kukuta zinawekwa kama hizi za 600,000 kila moja...kwa milioni 10 akiweka hata za laki 3 si anawasha huo mtaa mzima kabisa ? sasa bajeti yake ni 3,187,000 kwa taa moja

solar.PNG
 
hizi huoni ziko scattered barabara nzima ? yeye anaweka 32 tu ofisini kwake kuna taa hadi za laki 250,000 hapahapa bongo na ni solar
hata kama ukiweka hiyo chuma lake haziwezi fika milioni 3 na laki moja mazeeee,duuuh
Basi tuendeleee kupiga kelele huenda wahusika wakafuatilia
 
Back
Top Bottom