Hizi taa kwenye dashboard na huu mlio wa tahadhali vitakuwa vinaashiria Tatizo gani

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Mara ya nne hii imenitokea katika siku tofauti tofauti. Napokuwa naendesha gari (Toyota Brevis) Ghafla hizi Taa kwenye Dashboard zinawaka na kuna mlio/alarm inapiga for sme tme halafu inaweza zima.

Wakati mwingine hata dk 3-8 inakuwa hivi. Ningeomba kwa mwenye experience hii au ufaham hizi taa zitakuwa na maana gani. Kabla sijapeleka kwa fundi kufanya diagnosis.

Binafsi napenda kabla sijaenda kwa fundi niwe na ABC za tatizo kuliko kwenda kwake Blindly kabisa. Maana hapo ndo huwa mafundi wanapata nafasi ya kutugonga au kutuharibia magari kabisa.

Fundi anaweza akafungua kitu kingine wwkati mwingine na kuibua tatizo jipya ambalo halikuwepo.

Gari ni Toyota Brevis. Mbali na hilo tatizo utumiaji wake wa mafuta upo normal na vitu vingine vinaenda but i know kuna tatizo smewhre why taa ziwake ambazo when the car is ok huwa haziwaki na pia uwepo huo mlio

IMG_20190527_164156_1.jpg
 
Hiyo track off inawaka endapo umepress bottom yake ipo upande wa kushoto wa steering, hii inapunguza traction control, mahususi kupunguza msukumo wa engine kwenye mataili, track off hufaa kwenye tope au utelezi, hiyo vsc ni vehicle stability control, mara nyingi hufanya kazi pamoja na track control ili kuizima bonyeza mara tatu zitajizima zote track na vsc
 
But huwa inatokea napokuwa naendesha sijagusa popote. Inatokea hivyo inawaka na kupiga alarm then nikiwa bado sijafanya lolote vyote vinajizima. Hapo mguu tu upo kwenye pedal ya mafuta na break.smetme napokanyaga break ndo inatokea hivyo.

Yani ndugu izo taa zilizowaka TRC, VSC na ABS zinafanya kazi kwa pamoja. Kama nini peleka zichekiwe sensors kama zipo powa na kama each system infanya kazi inavotakiwa apo.
 
nimetamani kuwa mwanafunzi wako. straigth and clear hadi kueleweka.
Hiyo track off inawaka endapo umepress bottom yake ipo upande wa kushoto wa steering, hii inapunguza traction control, mahususi kupunguza msukumo wa engine kwenye mataili, track off hufaa kwenye tope au utelezi, hiyo vsc ni vehicle stability control, mara nyingi hufanya kazi pamoja na track control ili kuizima bonyeza mara tatu zitajizima zote track na vsc
 
Engine ya CC 3000 na yenye service nzuri bado sana ndugu yangu. Ungenambia ya CC 900 sawa.
Kuna service ya oil na service ya kubadilisha parts. Safari_ni_Safari hayupo mbali sana na ukwelie kama sio ukweli wenyewe.
 
Hiyo track off inawaka endapo umepress bottom yake ipo upande wa kushoto wa steering, hii inapunguza traction control, mahususi kupunguza msukumo wa engine kwenye mataili, track off hufaa kwenye tope au utelezi, hiyo vsc ni vehicle stability control, mara nyingi hufanya kazi pamoja na track control ili kuizima bonyeza mara tatu zitajizima zote track na vsc

Gud, ABS ni upande wa brake aende wakacheki maeneo hayo.
 
Watu wanataka ushauri wakipewa wanakuwa wakali. Sijui essence ya kuuliza maswali ni nini. Yaani mtu haelewi kwa nini dashboard ya ari yake ina mileage. Pengine hata hajui ikifika 50,000 au 100,000 afanye nini:

Key car parts will need replacing every so mankilometres, typical examples are:Brake pads every 32,000 km
  • Brake discs every 64,000 km
  • Tyres every 32,000 km
  • Timing belt and water pump - check the manufacturer's guidance - often around 100,000km
  • Clutch and flywheel every 160,000 km
 
Mkuu you will be insulting my intelligence kama utaamini kuwa kila ushauri unaotolewa ntachukua bila kuhoji.my brain should work otherwise every tom,dick and harry will say smethng nami nitachukua.mwishowe i will be a laughing stock.hata daktari huwa namhoji ili anielezee zaid.

Watu wanataka ushauri wakipewa wanakuwa wakali. Sijui essence ya kuuliza maswali ni nini. Yaani mtu haelewi kwa nini dashboard ya ari yake ina mileage. Pengine hata hajui ikifika 50,000 au 100,000 afanye nini:

Key car parts will need replacing every so mankilometres, typical examples are:Brake pads every 32,000 km
  • Brake discs every 64,000 km
  • Tyres every 32,000 km
  • Timing belt and water pump - check the manufacturer's guidance - often around 100,000km
  • Clutch and flywheel every 160,000 km
 
Mara ya nne hii imenitokea katika siku tofauti tofauti. Napokuwa naendesha gari (Toyota Brevis) Ghafla hizi Taa kwenye Dashboard zinawaka na kuna mlio/alarm inapiga for sme tme halafu inaweza zima.

Wakati mwingine hata dk 3-8 inakuwa hivi. Ningeomba kwa mwenye experience hii au ufaham hizi taa zitakuwa na maana gani. Kabla sijapeleka kwa fundi kufanya diagnosis.

Binafsi napenda kabla sijaenda kwa fundi niwe na ABC za tatizo kuliko kwenda kwake Blindly kabisa. Maana hapo ndo huwa mafundi wanapata nafasi ya kutugonga au kutuharibia magari kabisa.

Fundi anaweza akafungua kitu kingine wwkati mwingine na kuibua tatizo jipya ambalo halikuwepo.

Gari ni Toyota Brevis. Mbali na hilo tatizo utumiaji wake wa mafuta upo normal na vitu vingine vinaenda but i know kuna tatizo smewhre why taa ziwake ambazo when the car is ok huwa haziwaki na pia uwepo huo mlio

View attachment 1110067
Tahadhali = tahadhari

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
But huwa inatokea napokuwa naendesha sijagusa popote. Inatokea hivyo inawaka na kupiga alarm then nikiwa bado sijafanya lolote vyote vinajizima. Hapo mguu tu upo kwenye pedal ya mafuta na break.smetme napokanyaga break ndo inatokea hivyo.
Fanya sasa unachoelekezwa kufanya, maana unaanza kuleta majibizano hapa, wewe bonyeza mara tatu hiyo switch uliyoelekezwa!
 
Hiyo taa moja ni ya handbreak,, kwa nilichogundua mpaka sasa Mkuu gari yako inamatatizo kwenye masuala ya WAYALINGI ( sijui kwa kimombo wanaandikaga vipi) na mara nyingi sababu zake ni kuosha injini au kuingia kwenye dimbwi kubwa la maji. Ukimpelekea fundi wa aina hiyo basi tatizo lako litakua limekwisha.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom