GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,652
- 14,247
Mara ya nne hii imenitokea katika siku tofauti tofauti. Napokuwa naendesha gari (Toyota Brevis) Ghafla hizi Taa kwenye Dashboard zinawaka na kuna mlio/alarm inapiga for sme tme halafu inaweza zima.
Wakati mwingine hata dk 3-8 inakuwa hivi. Ningeomba kwa mwenye experience hii au ufaham hizi taa zitakuwa na maana gani. Kabla sijapeleka kwa fundi kufanya diagnosis.
Binafsi napenda kabla sijaenda kwa fundi niwe na ABC za tatizo kuliko kwenda kwake Blindly kabisa. Maana hapo ndo huwa mafundi wanapata nafasi ya kutugonga au kutuharibia magari kabisa.
Fundi anaweza akafungua kitu kingine wwkati mwingine na kuibua tatizo jipya ambalo halikuwepo.
Gari ni Toyota Brevis. Mbali na hilo tatizo utumiaji wake wa mafuta upo normal na vitu vingine vinaenda but i know kuna tatizo smewhre why taa ziwake ambazo when the car is ok huwa haziwaki na pia uwepo huo mlio