Hizi taa kwenye dashboard na huu mlio wa tahadhali vitakuwa vinaashiria Tatizo gani

Encryption

Encryption

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Messages
212
Points
500
Encryption

Encryption

JF-Expert Member
Joined Oct 16, 2015
212 500
Pia Mkuu hizo taa nyingine ukiachana na ya handbreak huwa zinajiwasha automatically unapoingia eneo la matope au hali ya mvua (kwa gari nyingi nilizotumia) ,, sasa sina uhakika kama ni tatizo hilo,, hapo kwa mtazamo wangu tatizo ni hiyo taa ya handbreak tu haitakiwi kuwaka endapo unaendesha gari.
 
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2015
Messages
6,108
Points
2,000
GuDume

GuDume

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2015
6,108 2,000
Jiheshimu nawe utaheshimiwa. Heshima ni kitu cha bure.siyo wote walisoma tanzania.so dont act like a stupid child.

Huvi ndo lugha gani?

Tahadhali = tahadhari

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2018
Messages
584
Points
1,000
Boeing 747

Boeing 747

JF-Expert Member
Joined Mar 30, 2018
584 1,000
Hiyo taa moja ni ya handbreak,, kwa nilichogundua mpaka sasa Mkuu gari yako inamatatizo kwenye masuala ya WAYALINGI ( sijui kwa kimombo wanaandikaga vipi) na mara nyingi sababu zake ni kuosha injini au kuingia kwenye dimbwi kubwa la maji. Ukimpelekea fundi wa aina hiyo basi tatizo lako litakua limekwisha.
WAYALINGI=Wiring.

Haya kamanda...hivyo ndivyo inavyoandikwa kwa kimombo
 
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2018
Messages
1,580
Points
2,000
Leonardchama7

Leonardchama7

JF-Expert Member
Joined Apr 14, 2018
1,580 2,000
Hata mimi baiskeli yangu kila nikiendesha inatoa milio kama panya aliyebanwa na mlango,msaada wa mawazo kabla sijaenda kwa fundi
 
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2011
Messages
5,062
Points
2,000
LEGE

LEGE

JF-Expert Member
Joined Oct 14, 2011
5,062 2,000
Kama hukupata bado tiba hapo inamaanisha kwa maelezo yako kwamba huwa kuna mlio unatokea ni buzer ya brake hiyo gari brevis inatumia brake booster ya umeme so inamaana lazima ishaanza kuloose pressure hapo ndio maana hizo taaa zinawaka na huo mlio unatokea ukitaka kuamini juu ya maneno yangu washa gari harafu kanyaga brake kama raka kumi hivi utausikia huo mlio au wakati unaendesha gari uwe unakanyaga kanyaga brake kitatokea hicho kitu
 

Forum statistics

Threads 1,303,744
Members 501,127
Posts 31,490,940
Top