Hizi suruali zina madhara...Ziepukeni vijana.

Maisha ni kuchagua ishi upendavyo ili mradi huvunji sheria.

Kwa Tanzania ushoga ni uvunjaji wa sheria.
Hii sheria ni nzuri tatizo haifanyiwi kazi.
Natamani ingekua kama Uganda kudadeki sio hapa vishoga vinajulikana na hakuna hatua yeyote didi yao.
 
Kwa Tanzania ushoga ni uvunjaji wa sheria.
Hii sheria ni nzuri tatizo haifanyiwi kazi.
Natamani ingekua kama Uganda kudadeki sio hapa vishoga vinajulikana na hakuna hatua yeyote didi yao.

Kuna mashoga wanaovaa suti nadhifu.Hasty Generalization ndiyo nayopingana nayo hapa. Haimaanishi kila anayevaa suruali za namna hizo ni shoga au anaelekea kuwa shoga.
 
Rafiki hata kwa watoto wa kike hazifai. Mimi Kama mwanamke niliwahi kuzijaribu nikawa very uncomfortable. Sababu kubwa ni kwamba hizo jeans ni ngumu. Aidha hapo chini ya hiyo mnaita flays inaigawa sehemu ka kati ya maumbile ya mwanamke (naamini umeelewa), matokeo Yake nikawa naona inanisumbua uhuru wangu umechukuliwa na hiyo jeans.

No wonder neno la Mungu limeasa mwanamke asivae mavazi ya mwanaume na vivo hivyo kwa mwanaume.

Queen Esther

View attachment 137107

Jamani waungwana akili yenu ndiyo imechanyikiwa na kuanza kuona madudu! Hebu niambieni katika picha hii unaweza kutamani nini kutokana na mavazi ya vijana hawa? Halafu tafuta picha ya mwanamke ambaye maumbile kikawaida lazima ana makalio makubwa, halafu naye avae suruali ya kubana kama hawa vijana. Ni yupi atatamani hawa vijana badala ya huyo msichana. Aliyeanzisha uzi huu akili yake ndiyo iko upsidedown, la wavulana analiweka kwa wasichana na la wasichana kwa wavulana. Tahadharini na mabadiliko ya fikra ya namna hii, ndiyo chanzo cha homosexuaity.

Ni hakika zaidi kupinga wanawake kuvaa nguo za kubana, wengine hata umbile la utupu wao wa kike huonekana limevimbiana mpaka nje. Hii ni kuamsha tamaa ya kaka, baba na mpaka babu bila kujua huo ndiyo mwanzo wa umalaiya. Msichana mtu mzima kuvaa nguo inayoonyesha maumbile ya utupu wake mbele ya baba yake na baba mkwe wake ni aibu kubwa.
 
Jogoolashamba, soma vizuri mada ndio utaielewa! Umemhukumu mtoa mada bila sababu. Ni vizuri pia ukasoma na michango mingine.

Naungana na wewe kuwa mtu utamtamanije mwanaume mwenzio? Sasa huo si ndio ushoga ambao mtoa mada anapinga? Suala la wanawake kuvaa vibaya hiyo ni agenda nyingine ambayo ungeianzisha tofauti na hii ya mtoa mada, unless unaendeleza mada husika.

Tuendelee kukemea vitendo viovu ktk jamii, maana nani ajuae kesho likimkuta mwanao?? Kaka yako n.k

Queen Esther
 
Kuna mashoga wanaovaa suti nadhifu.Hasty Generalization ndiyo nayopingana nayo hapa. Haimaanishi kila anayevaa suruali za namna hizo ni shoga au anaelekea kuwa shoga.

Ni kweli wala hujakosea kwenye kuvaa suti ila wanavaa hizo suti lakini wanatumia viashiria vingine kujitambulisha kwa mabasha.
Kuna wanaovaa hizi suruali pia kutuma viashiria kwa mabasha kuwa wao ni mashoga.Kwa hiyo wanajificha na kivuli cha fashion.
 
View attachment 137107

Jamani waungwana akili yenu ndiyo imechanyikiwa na kuanza kuona madudu! Hebu niambieni katika picha hii unaweza kutamani nini kutokana na mavazi ya vijana hawa? Halafu tafuta picha ya mwanamke ambaye maumbile kikawaida lazima ana makalio makubwa, halafu naye avae suruali ya kubana kama hawa vijana. Ni yupi atatamani hawa vijana badala ya huyo msichana. Aliyeanzisha uzi huu akili yake ndiyo iko upsidedown, la wavulana analiweka kwa wasichana na la wasichana kwa wavulana. Tahadharini na mabadiliko ya fikra ya namna hii, ndiyo chanzo cha homosexuaity.

Ni hakika zaidi kupinga wanawake kuvaa nguo za kubana, wengine hata umbile la utupu wao wa kike huonekana limevimbiana mpaka nje. Hii ni kuamsha tamaa ya kaka, baba na mpaka babu bila kujua huo ndiyo mwanzo wa umalaiya. Msichana mtu mzima kuvaa nguo inayoonyesha maumbile ya utupu wake mbele ya baba yake na baba mkwe wake ni aibu kubwa.

Umenitukana lkn naamua kukujibu kistaarabu.

Atakaowatamani hawa vijana na uvaaji wao ni wanaume wanaopenda kugeuza wanaume wenzao.
Wao hawaangalii kuwa eti mwanaume kavaa akatoka hips,kwanza kawaida mwanaume hajaumbwa na hips wala kalio kubwa.
Wao kitakachowavutia kwa hawa vijana ni ishara kuwa wanapenda kugeuzwa.
Nadhani umenielewa.
Mabasha hawana shida na hips wala kalio kubwa...Kwa taarifa yako hao mabasha kuna wenye wake wazuri kwa umbo na sura majumbani kwao lakini wakiona vijanaume hata viwe vimekomaa vipi mradi vina dalili ya ushoga wao wanachanganyikiwa kabisa.
Mkuu mambo ya kishetani ni ya ajabu sana..
 
Jogoolashamba, soma vizuri mada ndio utaielewa! Umemhukumu mtoa mada bila sababu. Ni vizuri pia ukasoma na michango mingine.

Naungana na wewe kuwa mtu utamtamanije mwanaume mwenzio? Sasa huo si ndio ushoga ambao mtoa mada anapinga? Suala la wanawake kuvaa vibaya hiyo ni agenda nyingine ambayo ungeianzisha tofauti na hii ya mtoa mada, unless unaendeleza mada husika.

Tuendelee kukemea vitendo viovu ktk jamii, maana nani ajuae kesho likimkuta mwanao?? Kaka yako n.k

Queen Esther

Wewe nadhani ndiyo hutaki kumwelewa muanzisha uzi! Amesema suruali walizovaa wanaume hawa ni za kike na hazifai kuvaliwa na mwanaume rijali. Wanawake ndiyo wanatakiwa kuvaa suruali zinazobana.

Nikikuuliza swali dogo tu, tangu lini suruali ya kike ikawekwa Fly? Suruali za kike ziliwekwa zip upande wa kulia pajani kulingana na tabia yenyewe ya wanawake kulazimika kuvua suruali yote hata wakati wa haja ndogo tu. Msichana hawezi kufungua fly akakojoa, ni lazima ashushe suruali lote.

Tuseme ni kwa sababu ya confusion ya utandawazi wanawake ndiyo wameanza kuvaa suruali za kiume (zenye fly). Sasa mtoa mada wetu hizi suruali ndiyo anaita za kike kwa sababu zinabana. yeye kigezo chake ni kubana kwa sababu eti suruali za kike ndiyo zinatakiwa kubana.

Nielewe kwa nini nimemng'akia huyu jamaa! Hatutaki utamaduni wa wazungu wa kuficha matiti na kuacha bustani yote wazi, ni kuvinjari!!!!!!!
 
Umenitukana lkn naamua kukujibu kistaarabu.

Atakaowatamani hawa vijana na uvaaji wao ni wanaume wanaopenda kugeuza wanaume wenzao.
Wao hawaangalii kuwa eti mwanaume kavaa akatoka hips,kwanza kawaida mwanaume hajaumbwa na hips wala kalio kubwa.
Wao kitakachowavutia kwa hawa vijana ni ishara kuwa wanapenda kugeuzwa.
Nadhani umenielewa.
Mabasha hawana shida na hips wala kalio kubwa...Kwa taarifa yako hao mabasha kuna wenye wake wazuri kwa umbo na sura majumbani kwao lakini wakiona vijanaume hata viwe vimekomaa vipi mradi vina dalili ya ushoga wao wanachanganyikiwa kabisa.
Mkuu mambo ya kishetani ni ya ajabu sana..

Kwa hiyo wewe unadhani wanaovaa milegezo wote ni wasienge? Maana kama hawa vijana picha zao basha zinamunguza basi hao wenye milegezo ndiyo crisis kabisa. Kuna ishara ya usienge kuu zaidi ya kuacha makalio wazi kwa mlegezo?

Haya kazi kwako na kwao mabasha basi maanake siyo wenye tatizo kwako, wakiingilia mtiako ya mwanaume wenzao wewe unawapa dole kuwa ndiyo kasi yao. Au mwenzetu unaonja, maanake tabia yao umeijua kama kawa!
 
Hili tatizo limekidhiri hadi mashuleni unamnunulia mtoto suruali nzuri yy anarudi dukani kuipunguza anavyo taka yeye.
 
Jogoolashamba, soma vizuri mada ndio utaielewa! Umemhukumu mtoa mada bila sababu. Ni vizuri pia ukasoma na michango mingine.

Naungana na wewe kuwa mtu utamtamanije mwanaume mwenzio? Sasa huo si ndio ushoga ambao mtoa mada anapinga? Suala la wanawake kuvaa vibaya hiyo ni agenda nyingine ambayo ungeianzisha tofauti na hii ya mtoa mada, unless unaendeleza mada husika.

Tuendelee kukemea vitendo viovu ktk jamii, maana nani ajuae kesho likimkuta mwanao?? Kaka yako n.k

Queen Esther

Mkuu usipoteze nguvu zako kumuelewesha mtu ambaye ameelewa kila kitu ila kwa makusudi tu anajifanya haelewi.
Shtuka mkuu.
 
Heshima kwenu wakuu.
Acha niende moja kwa moja kwenye point yangu.
Hizi suruali hapo juu ni za kike,mwanaume yeyote rijali,anayejitambua na mwenye kuthamini kama binadamu wa kiume atakubaliana na mimi.
Bahati mbaya na inasikitisha sana kuwa ndio suruali zinazopendwa na vijana wengi wa kiume wa Tanzania.
Wengi wa vijana wanavaa suruali hizi kwa lengo la kwenda na fashion bila kujua kuwa suruali hizi zina madhara ya kuwaingiza katika kugeuzwa mashoga na wanaume wenye kupenda wanaume wenzao.

Nitafafanua hapa namna suruali hizi zinavyoweza kumpelekea kijana asiye jihusisha na vitendo vya mapezi ya kinyume na maumbile kujihusisha navyo.

Ni hivi,hizi suruali kama nilivyosema mwanzo wenye wanaziona za kiume lakini zimetengengenezwa kwa muundo ambao ungewapendeza wanawake zaidi kwa sababu zimedizainiwa kwa lengo la kubana hips na makalio.
Mwanaume unapozivaa haziwezi kukubana sana sababu kwa asili wanaume hatuna hips wala makalio makubwa lakini pamoja na hayo bado mwanaume azivaaye hupata mwonekano wa kike.Kwa wanaume vibonge wanaozivaa ndio ukiwaona kwa nyuma utadhani mwanamke kabisa.

Kwa kawaida kuna mashoga wa aina mbili,kuna wale wanaofanya kwa wazi bila kuficha na kuna wale wengine wanaficha,wanaweza kuwa hata na mke au girlfriend ila ili huwa wanatoa fiashiria fulani fulani vya kuwafanya wanaume mabasha au mamende kuwajua.

Kwa maana hiyo hawa mamende/mabasha kuna vitu wakiviona kwa mwanaume wanaweza kuhisi kuwa huyu mwanaume yuko na mkewe/girlfriend wake ila ni shoga.

Sasa hivi visuruali wanavyovaa ndugu zetu mara nyingi zinawapa viashiria hawa mabasha kuwa mvaaji anapenda kugeuzwa kinyume na maumbile.Basha akivutiwa anaanza kumfuatilia kijana,sasa kama kijana sio shoga anamkatalia basha,ila hawa mabasha wakipenda hawakati tamaa kirahisi,atafanya kila mbili hadi ampate kijana.Basha akiona anawekewa ugumu atatumia pesa hata kumnunulia kijana gari na vitu kama hivyo,na kwa jinsi vijana wa leo walivyo na tamaa ya mafanikio ya haraka haraka tena bila kufanya kazi kijana anajikuta tayari yumo katika kundi la mashoga.Na chanzo cha yote hayo ni hivi visuruali vyao vinavyobana hips na kalio.

Najua wengi hawajui,ila hivi visuruali asili yake ni kuwa zilianza kutengenezwa kwa ajili ya wanaume mashoga ambao bado wako kabatini.(Mashoga walioko kabatini ni wale ambao bado hawajakiri kuwa wao ni mashoga).

Wazazi kuweni makini,sio kila fashion inayoingia unamnunulia mwanao mdogo eti kisa msanii fulani kipenzi cha watoto anapendelea kuvaa hivyo na wewe mwanao unataka afanane nae.
Wazazi wavalisheni watoto wa kiume nguo za kiume.
Vijana vaeni nguo za kiume,sio lazima kila fashion na wewe uwepo.

Dalili zinaonesha miaka saba ijayo vijana wengi wa Tanzania wa umri wa miaka 32 kwenda chini watakua wanajihusisha na mapenzi ya kishoga kwa siri siri na wachache watazidi kutambulika waziwazi.

Sasa hivi wapo vijana wengi wa kiume wamepangishiwa nyumba na kununuliwa magari na kutnzwa kama nyumba ndogo na wanaume watu wazima wenye pesa zao na wenye wako zao.

Baadhi ya vijana wa kiume wa bongo flavour,mnakata sanna viuno,wanaume hawakatiki namna hiyo,mnatia aibu na mashaka.Tatizo yupo mmoja wenu anapendwa sana na watoto na kila anachofanya watoto wanapenda kumuiga.Mnatuharibia watoto nyie vijana hebu fanyeni vitendo vinavyofaa kufanywa na wanaume ili muwe mfano mzuri kwa watoto wetu wa kiume.
Hayo mauno waachieni dada zenu wakawakatikie shemeji zenu vyumbani

.View attachment 136618View attachment 136619View attachment 136620View attachment 136621View attachment 136622View attachment 136623View attachment 136623View attachment 136624View attachment 136625

Kama vijana mtaweza kutoana kasumba za ajabu ajabu basi ni mwanzo wa kujikomboa mimi nimewaambia mara nyingi lakini naonekana ni wa analogi sasa nyie wa digitali rekebishaneni.
madhara ni makubwa sana na zaidi kwenye makuzi ya sehemu nyeti uhuru wa sehemu nyeti haupo.
maeneo hayo yanataka freeness fulani ilikuwa kuwa rijali .
 
Sasa hivi wapo vijana wengi wa kiume wamepangishiwa nyumba na kununuliwa magari na kutnzwa kama nyumba ndogo na wanaume watu wazima wenye pesa zao na wenye wako zao.

Naomba unithibitishie kauli hiyo ili nijiridhishe kwa kauli yako,ni vyema ukatupia na picha za nyumba na na magari waliyonunuliwa na wazee hao mabasha.
We are Great thinkers.

Unafikiri ni rahisi kihivyo? Hebu fuatilia tafiti za Men who have sex with men (MSM) in Tanzania, utatamani kulia.....tulipofikia ni kubaya sana.
 
Hiyo sheria wanawake wanatakiwa kuvaa suruali zilizobana katunga nani? Huwezi kulazimisha watu waishi kadili unavyotaka wewe, kwasabab tumeumbwa tofauti kila mmoja wetu, kuvaa suruali za kubana hazimaanishi ni mashoga huu ni uongo uliokomaa, tukitaka kurudi kwenye Mila na desturi zetu turudi kwenye kuvaa magome, baba zetu walivaa mabwanga tofauti ni sehemu za miguu ni pana sana lakini juu zilikuwa zinabana, kila mtu aishi kadili apendavyo ili mradi atembei uchi, kuna watu watanashati kwa mavazi ila wana tabia chafu kuliko hao vijana wanaovaa hizo suruali za kubana! Tabia ya mtu haina uhusiano na mavazi yake, tabia ni tabia tu hata uvae suti, kanzu au joho Kama askofu! Ivi kipi ni bora kuwa na character ya nje ambayo watu watakuona Kama mtu mwenye adabu/Heshima kwa mtazamo wao japokuwa hakuna ukweli ktk Hilo. Au kuwa na character nzuri ya ndani ya nafsi yako?
 
Unafikiri ni rahisi kihivyo? Hebu fua tilia tafiti za Men who have sex with men (MSM) in Tanzania, utatamani kulia.....tulipofikia ni kubaya sana.

Watu wanaelewa mkuu wanaamua kutetea tu kwa sababu wanazojua wenyewe.
Mimi sikuwa mjinga kusema haya.Hali ni mbaya sana hata kwa dada zetu nako usagaji ni janga.
 
Back
Top Bottom