Hizi sura lazima zionekane kwenye baraza la mawaziri lijalo

Binafsi ningependa uchaguzi uwe huru na haki, lakini kwa mazingira yalivo sasa no way. Kuna watu piga ua lazma watangazwe ubunge hata kama watashindwa kwenye sanduku la kura, na kuna uwezekano mkubwa wakawemo kwenye baraza la mawaziri lijalo, Hawa ni baadhi yao.

1. Makonda - Huyu ana nafasi kubwa ya kuwa waziri wa mambo ya ndani au ulinzi
2. Mnyeti
3. Mwanri
4. Gambo
5.Mtaka - Huyu lazima atachukua fomu hivi karibuni
6.Tulia - Huyu kama asipopewa waziri wa sheria, anaweza kuwa spika au naibu spika akijiandaa kuwa spika ajaye baada ya 2025, nae atatangazwa mshindi hata kama atashindwa kwenye sanduku la kura.

7. RC wa kigoma - huyu nae anaweza kuwa waziri wa ulinzi au mambo ya ndani


8. Charles Kimei, Huyu alikuwa mkurugenzi mstaafu wa CRDB
9. Francis nanai,Mkurugenzi wa mwananchi communication ltd
10.....................................
11........................................
13. yule jamaa aliyekuwa mkurugenzi wa sekta binafsi..
14.............................................
15.................................................

Tuendeleee, kuwaorodhesha...., Kumbuka.

Baraza la mawaziri lijalo zitaonekana sura za wapendwa wa mkubwa tu, hili lililopita hakuwa na jinsi maana wabunge wengi aliwarithi hivyo alilazimika kuwachagua haohao na ilipobidi aliteua nje kwa mujibu wa sheria aliyopewa ya kuteua wabunge kumi.
Makonda na Gambo wamevuruga vuruga sana,halafu sio watu waaminifu.Sijui Magufuli bwana,lakini kama mimi ningekuwa ndio Rais wasingepata nafasi kwenye serikali yangu.
 
Meko kuna upande wake mmoja wa ubongo ukiwa vizuri sio mtu wa kufanya kazi na bashite, ila kama bashite ni mshirika wake kwenye issue za hovyo hana namna ya kumlipa fadhila.
Makonda na Gambo wamevuruga vuruga sana,halafu sio watu waaminifu.Sijui Magufuli bwana,lakini kama mimi ningekuwa ndio Rais wasingepata nafasi kwenye serikali yangu.
 
MiCCM inaona nchi ni yao...nimetizama sekeseke la Mali nikasema hawa ndio Waafrika
 
Back
Top Bottom