Hizi Soda walikuja zikosea sana

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Miaka ya 90 Stoney Tangawizi kwa mara ya kwanza inaanza kuuzwa zilikuwa ni soda kali zenye tangawizi ya kutosha sana. Sijui ikaweje wakapunguza makali.

Inawezekana wanaume wa Kinondoni walilalamika kuwa wakinywa zinawapalia kooni. Basi wangetuachia sisi wengine ule ukali wenyewe hasa hasa.

Wakatukosea wakapunguza ukali sasa hivi hata watoto wadogo wanakunywa bila shida. Siyo sawa. Kipindi hiki cha Corona watu wangekunywa sana Stoney Tangawizi na Bitter Lemon. But watengenezaji wamekosa ubunifu.

Mo Dewj au Bakhressa nyie mmeshindwa tengeneza Juice ya Tangawizi na Limao?
 
Back
Top Bottom