Hizi sherehe X-Mass Tanzania...?

Chungu_tamu

Member
Dec 16, 2010
22
5
Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa vipindi vyake na kuwa wa KIKRISMASKRISMAS!Sijasema Krismas isisherehekewe kitaifa lkn pawepo na usawa baina ya Dini zote.
 
Kama na waislamu wana maua,nyimbo na mapambo mengine wanaweza kufanya hivyo kwa kuwa hakuna sheria inayozuia kufanya hivyo.Ni suala la kuingiza kwaenye bajeti tu!!
 
Kama na waislamu wana maua,nyimbo na mapambo mengine wanaweza kufanya hivyo kwa kuwa hakuna sheria inayozuia kufanya hivyo.Ni suala la kuingiza kwaenye bajeti tu!!

umeonaaaaeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
wewe inakukera niniiiiiiiiiiii? mbona hizo idi zenu huwa tunanyamaza?
 
Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa vipindi vyake na kuwa wa KIKRISMASKRISMAS!Sijasema Krismas isisherehekewe kitaifa lkn pawepo na usawa baina ya Dini zote.

Waandikie barua wote waliofanya hivyo - kupamba ofisi, kutuma kadi n.k. ukiwauliza kwa nini wanafanya hivyo na sheria gani ya nchi inakataza kufanya hivyo halafu majibu yao utuletee humu jamvini. Na kwa taarifa yako sio maofisini tu bali hata kwenye maduka makubwa - nenda shoppers plaza utajionea mwenyewe.
 
Acheni kulalama tu chukueni hatua:
  1. Jengeni shule msomeshe watu wenu
  2. Kama maua pambeni hamzuiwi
  3. Msitegemee sana misaada jisaidieni wenyewe
  4. Dini zingine sio kikwazo chenu, kikwazo ni nyie wenyewe
  5. Acheni uhasama
  6. Msifuge majini
 
wivu wivu ukizidi, unaleta KEROOOOOOOOO,hata tukipamba maua mnaleta wivuuuu, tukiimba kwaya ndo kabsaaaaa. wewe na wewe usilete za kuleta mbona wakati wa idi utaona tv karibu zote wameweka kale ka mwezi kachanga pale na adhana kibaooooo tu. sasa km hamna mapambo km yetu na shwerehe za nguvu mtafanya nini pigeni kimyaaaa tuuuu
 
Jamani naomba mjue kwamba sherehe ya x-mass haziwezi kulinganishwa na kitu au mtu yeyote maana ni maadhimisho ya kuzaliwa kwa MFALME WA WAFALME NA BWANA WA BWANA!!
 
Mara nyingi huwa jambo hili linanishangaza sikukuu za kidini hasa za kikristo utakuta ofis za serikal(wizara,shule even hospitals)kupamba maua na wakati mwengine na kwaya zinapigwa.Na hiyo inayoitwa television ya taifa(TBS1)inaadhimisha krismas wiki mbili kabla na baada na inabadili mfumo wa vipindi vyake na kuwa wa KIKRISMASKRISMAS!Sijasema Krismas isisherehekewe kitaifa lkn pawepo na usawa baina ya Dini zote.

acha kua na mawazo mgando.mbona katikati ya mwezi uliopita ilikua eid-el-hajj na vipindi vya tbc vilibadilika week moja kabla?ktk ile week kila jioni walikua na vipindi maalumu vya kusherehekea pamoja na kaswida za kutosha.i advise you to have an open brain.ktk yote tbc huwa wanajitahidi sana.about huko kungine si unaonaga vile vibendera vinafungwaga na kamba then vinasambazwa barabarani wakati wa sherehe za kiislamu.tena huwa havitolewi mpaka vinakatikia hapoa hapo.au we huonagi yale kua ni mapambo?
 
Huyu bwana naona hakufikiri kabla aandike hii post.

Serikali ni kweli haina dini, ila wafayakazi wa serikari wanadini, sasa basi unapoona sherehe hizi za xmass zinashamrashamra nyingi maofisini UJUE KUWA WENGI WALIOMO KWA MAOFISI HAYO NI WAKRISTO, AMBAYO PIA INAMAANISHA NI WASOMI WA KIKRISTO AMBAYO PIA INAMAANISHA KUNAUMOJA WA KUZISHEHEREKEA SIKUKU HIZI.

Ndugu zetu waisilamu pia wananafasi yakupamba pia, ni swalala wao kujipanga tu, ila mapambo yao sasa ndio yanawezaleta kujihoji.
 
X-MAS is a season. Mnaweza pia mkaifanya IDD Ikawa kama Xmas.. Lakini tatizo nyie wenyewe kwa wenyewe hamuelewani. Leo wanasherehekea wengine, kesho wengine!
 
Mkuu pole sana kwa kukereka, yaani hivi sasa hata dubai, qatar nk wana x mass season sale ktk mashoping senta yao, waweza cheki hata online.lakini hakuna ktk sherehe zenu
Mkuu acheni kulalama chukueni hatua
 
Acheni kulalama tu chukueni hatua:

  1. Jengeni shule msomeshe watu wenu
  2. Kama maua pambeni hamzuiwi
  3. Msitegemee sana misaada jisaidieni wenyewe
  4. Dini zingine sio kikwazo chenu, kikwazo ni nyie wenyewe
  5. Acheni uhasama
  6. Msifuge majini

Duuh, naona huo msumari umewagonga katikati ya kichwa! hapo hakuna la kuongeza mkuu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom