Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,178
- 7,319
Hata kikiingia chama kingine madarakani, naamini itachukua miaka mingi sana rekodi hizi za CCM kuvunjwa
1. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza duniani kutokujua kwa nini nchi yake ni maskini
2. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu wa kwanza duniani kulia bungeni baada ya kuulizwa swali
3. Lowassa ameweka rekodi kuwa waziri mkuu wa kwanza Tanzania kuvuliwa madaraka
4. Mulugo amekuwa waziri wa kwanza Tanzania kutokujua nchi yake ni muungano wa nchi zipi
5. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza diniani aliyesafiri nje ya nchi yake mara nyingi zaidi akiwa madarakani
6. Wizara ya elimu imeweka rekodi ya kutoa wanafunzi waliofeli kidato cha nne zaidi ya 60%
7. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu aliyedanganya mara nyingi zaidi bungeni