Hizi rekodi za CCM ya sasa zitavunjwa lini?

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,181
2,000
Hata kikiingia chama kingine madarakani, naamini itachukua miaka mingi sana rekodi hizi za CCM kuvunjwa

1. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza duniani kutokujua kwa nini nchi yake ni maskini

2. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu wa kwanza duniani kulia bungeni baada ya kuulizwa swali

3. Lowassa ameweka rekodi kuwa waziri mkuu wa kwanza Tanzania kuvuliwa madaraka

4. Mulugo amekuwa waziri wa kwanza Tanzania kutokujua nchi yake ni muungano wa nchi zipi

5. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza diniani aliyesafiri nje ya nchi yake mara nyingi zaidi akiwa madarakani

6. Wizara ya elimu imeweka rekodi ya kutoa wanafunzi waliofeli kidato cha nne zaidi ya 60%

7. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu aliyedanganya mara nyingi zaidi bungeni
 
Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,648
1,225
Mkuu na ile kesi ya afisa wa CCM kubaka, kuambukiza ukimwi na kutishia kuua mbona umeisahau? Hii rekodi nayo itavunjwa kweli?
 
mshunami

JF-Expert Member
Feb 27, 2013
4,166
2,000
Inabidi CCM kipewe tuzo maalum kwa ajili ya rekodi hizo ambazo huenda hazitavunjwa hata baada ya miaka mingi!!
 
Bonson

Senior Member
Apr 20, 2013
183
250
Hata kikiingia chama kingine madarakani, naamini itachukua miaka mingi sana rekodi hizi za CCM kuvunjwa

1. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza duniani kutokujua kwa nini nchi yake ni maskini

2. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu wa kwanza duniani kulia bungeni baada ya kuulizwa swali

3. Lowassa ameweka rekodi kuwa waziri mkuu wa kwanza Tanzania kuvuliwa madaraka

4. Mulugo amekuwa waziri wa kwanza Tanzania kutokujua nchi yake ni muungano wa nchi zipi

5. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza diniani aliyesafiri nje ya nchi yake mara nyingi zaidi akiwa madarakani

6. Wizara ya elimu imeweka rekodi ya kutoa wanafunzi waliofeli kidato cha nne zaidi ya 60%

7. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu aliyedanganya mara nyingi zaidi bungeni

Duuh; hii thread ni kali. Ngoja tusubiri majibu kwa walio karibu na watajwa hapo juu!!
 
Haji Salum

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
1,022
0
CCM ina rekodi nyingi ambazo hazitavunjwa, hebu tuendelee kukumbushana! Hivi na hii rekodi ya kuua watu kwenye mikutano ya wapinzani na kisha kuwapakazia kuwa wamejilipua/wamejiua wenyewe, itavunjwa kweli?
 
Ngalikihinja

JF-Expert Member
Sep 1, 2009
21,758
2,000
Hata kikiingia chama kingine madarakani, naamini itachukua miaka mingi sana rekodi hizi za CCM kuvunjwa

1. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza duniani kutokujua kwa nini nchi yake ni maskini

2. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu wa kwanza duniani kulia bungeni baada ya kuulizwa swali

3. Lowassa ameweka rekodi kuwa waziri mkuu wa kwanza Tanzania kuvuliwa madaraka

4. Mulugo amekuwa waziri wa kwanza Tanzania kutokujua nchi yake ni muungano wa nchi zipi

5. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza diniani aliyesafiri nje ya nchi yake mara nyingi zaidi akiwa madarakani

6. Wizara ya elimu imeweka rekodi ya kutoa wanafunzi waliofeli kidato cha nne zaidi ya 60%

7. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu aliyedanganya mara nyingi zaidi bungeni

CCM wakirudi madarakani watazivunja hizo rekodi zote
 
Haji Salum

JF-Expert Member
Nov 27, 2013
1,022
0
Vipi hii ajira mpya ya vibaka wa buku 7 ambayo haipatikani mahali popote duniani isipokuwa katika utawala wa awamu ya nne Tanzania, itavunjwa kweli?
 
Honolulu

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
5,648
1,225
Vipi na hii rekodi ya rais kusema hawajui wakuu wa Dowans na kisha baada ya majuma matatu anatoa amri wakuu wa Dowans walipwe mabillioni ya pesa?
 
DULLAH B.

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
672
195
Vp ya ku2danganya kua gavaa daudi balali amekufa. Wakati bado anadunda na anatamba yuko hai ktk mtandao wa twiter.
 
Ikwanja

JF-Expert Member
Jul 12, 2011
2,083
1,500
kupiga picha za maigizo wakidahni ndo huduma kwa wananchi, huku wakiwa wamewatelekeza
 
Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,495
2,000
Jomba na hapo hujagusa rekodi za KINANA.. au unambania. Kapuya je.!!? Yule mmama wa miaka 60 aliyeoa kaserengeti boi kalivyojitoa akang'ang'ania vyeti..!??
 
bendaki

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
954
250
1. Ya kufanya njia ya reli ya kati isipitike kisa wapiga kura wa Zitto wamchukie maana ndio usafiri wao pekee kisha na kumgeukia awasaliti wenzao ili daraja la mto malagalasi lipate kujengwa. 2. Ya kufuta reli ya Tanga-Arusha ili uchumi wa kaskazini ufe. 3. Kudhoofisha mfumo wa mali za umma vile viwanda, mabenki, bima, nyumba za serikali, nk ili wapate sababu ya kujigawia wao na maswahiba wao hasa wenye asili ya kihindi, kisomali, nk. 4. Niongeze!?
 
chuki

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
2,705
1,500
Hata kikiingia chama kingine madarakani, naamini itachukua miaka mingi sana rekodi hizi za CCM kuvunjwa

1. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza duniani kutokujua kwa nini nchi yake ni maskini

2. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu wa kwanza duniani kulia bungeni baada ya kuulizwa swali

3. Lowassa ameweka rekodi kuwa waziri mkuu wa kwanza Tanzania kuvuliwa madaraka

4. Mulugo amekuwa waziri wa kwanza Tanzania kutokujua nchi yake ni muungano wa nchi zipi

5. Kikwete ameweka rekodi ya kuwa raisi wa kwanza diniani aliyesafiri nje ya nchi yake mara nyingi zaidi akiwa madarakani

6. Wizara ya elimu imeweka rekodi ya kutoa wanafunzi waliofeli kidato cha nne zaidi ya 60%

7. Pinda ameweka rekodi ya kuwa waziri mkuu aliyedanganya mara nyingi zaidi bungeni

Una wajua wachaga wewe?
Wape madaraka uone hizi rekodi zinavunjwa ndani ya wiki moja.
 
Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,181
2,000
Una wajua wachaga wewe?
Wape madaraka uone hizi rekodi zinavunjwa ndani ya wiki moja.

Sio kweli maana wamekuwepo mawaziri wengi tu wachaga na hawajawahi kuingia kwenye rekodi za kipuuzi...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom