Hizi postgraduate za SUA unaziandikaje kwenye RESUME?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi postgraduate za SUA unaziandikaje kwenye RESUME?!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Gama, Sep 2, 2011.

 1. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,698
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  Wana JF,
  hakika iddi imepita salama. Naanza muongo mpya kwa kujiuliza ni namna gani wahitimu wa shahada za juu ktk chuo cha SUA wanaorodhesaha shahada zao katika CV. Masters prog nyingi zinachukua miaka miwili lakini wanaomaliza shahada hizi kwa muda muafaka ni chini ya 10%, walibaki huendelea kuchekecha hadi miaka 4, sasa naomba kuuuliza ni namna gani shahada hizi zitaandikwa kwenye CV ?.
   
 2. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #2
  Sep 2, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,523
  Likes Received: 2,442
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha elimu ya SUA. Samahani napta tu.
   
 3. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #3
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 7,698
  Likes Received: 663
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Unapita kuelekea wapi?, loliondo kuchunguza botany ya dawa ya babu?! Au moshi kufanya utafiti juu ya mwanakondoo wa mil,10?
   
 4. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #4
  Sep 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 598
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Wakuu nisaidieni,hivi sua chuo kinafunguliwa lini?
   
 5. p

  pichuwanyi Member

  #5
  Sep 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [QUOTE=Vanpopeye;Wakuu nisaidieni,hivi sua chuo kinafunguliwa lini? Tarehe 23 october, vp unaenda gonga nn pale?
   
 6. engineerm

  engineerm Senior Member

  #6
  Sep 2, 2011
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 106
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wanakuwa wanaferi au?
   
 7. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #7
  Sep 3, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 598
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Oh asante papaa,naenda gonga BSc wildlife...then mwaka wa kwanza twareport hyohyo 23?
   
 8. Vanpopeye

  Vanpopeye JF-Expert Member

  #8
  Sep 3, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 598
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Oh asante papaa,naenda gonga BSc wildlife...then mwaka wa kwanza twareport hyohyo 23?
   
Loading...