Hizi pin code za halotel zinaboa kinyama

Izy_Name

JF-Expert Member
Apr 9, 2020
647
1,295
majuzi kati nmeona ndugu yangu anapata offer zenye GB za kutosha za halotel sinikakurupuka kwenda kusajili lain ya halotel kwa ajili ya matumiz ya PC na sipendi kushare MB via smartphone nikaweka na vocha za kutosha kilicho nitokea haya ma pin code kwenye modem ina andika pin locked yaan haikupi placeholder ya kutoa hizo pin code.

Nashindwa kuelewa hivi hawa halotel huwa wanashauliwa kweli alaf bado naona hata kwenye cm bado ni usumbufu tu nitoe password nitoe na pin code tena na kuna wengine hawapendi phone lock ya aina yyte ile.
 
hata mimi yapo yani nikichomeka modem yanakuja moja kwa moja shida ukitaka kuyatoa yanasema pin code nimekosea wakati ndo hizo nazo tumia kutolea kila napo connect
 
Niliwahi kuwauliza wanasema ni Agizo la Tcra.

Anyway kutoa si ngumu kwa simu nenda setting Kisha security Kisha tafuta pincode ama simlock ama neno lifananialo then weka off haitakuja Tena...

Modem Pia ina uwezo wa kutoa Ila long time nimesahau process, nenda tu kwenye dashboard Kisha option/tools somewhere utaikuta option ya kuweka off.
 
Hazitoki hizo pin kama umezikuta kwenye lain mpya ukiweka off inaandika pin error
 
Mim ninayo ya airtel tokea mwaka jana imegoma na jana nimesajil halotel na yenyewe ikanambia hivyo hivyo pin error
Mbona mm line zote nilizosajili hazikuwa na PIN code yoyote. Halotel nilisajili kma miezi mi 6 hvi iliyopita na siku kuta PIN code. Airtel nilirenew line mwezi wa 11 na haikuwa na PIN yoyote activated. Hzo line wenzetu mnanunulia wapi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilihangaika kuzi disable hizo pin lakini cha kushangaza ukiweka pin husika inakwambia error nikaamua kuacha tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom