Hizi picha zinatufundisha nini?

Sokomoko

JF-Expert Member
Mar 29, 2008
1,915
127
WanaJF, Habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku, nimejaribu kupia hizi picha lakini sipati maana zinazojitosheleza naomba kama mtu anaweza kunipa ujumbe wa picha hizi maana they say a picture can say 1000 words. Jukwaa ni lenu...............
 
Attachments

  • kikwete-lipumba.jpg
    kikwete-lipumba.jpg
    12.7 KB · Views: 224
WanaJF, Habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku, nimejaribu kupia hizi picha lakini sipati maana zinazojitosheleza naomba kama mtu anaweza kunipa ujumbe wa picha hizi maana they say a picture can say 1000 words. Jukwaa ni lenu...............

Mie naona zinaonyesha utaifa, umoja, upendo na Mshikamano. Hivyo ndio mimi naona. Watanzania ni wamoja na tofauti zetu ni kiitikadi.
 
Mie naona zinaonyesha utaifa, umoja, upendo na Mshikamano. Hivyo ndio mimi naona. Watanzania ni wamoja na tofauti zetu ni kiitikadi.

Sasa utakuta mwanacham wa upinzani ndani ya JF anaposema mpinzani lazima apambane na serikali huyo mtu anakuwa na maana gani? Jamani nauliza ili nijue sitegemei kuzodolewa.
 
mmmh kuna kwani mlikua hamjui? mi hadi evidence nlipewa na kaka mmoja hivi yani sikuamini
 
wat r u implying? hatuna upinzani hasa?

I am not implying anything I just want you to give a comment on those picture.....To me upinzani unajengwa na hoja na sio chuki kama wengi wetu wanavyoona. Kwahiyo unaweza kutoa ujumbe kwenye hizo picha? Kama huwezi basi!
 
...
 
Attachments

  • MIZENGO NA SLAA.JPG
    MIZENGO NA SLAA.JPG
    42.2 KB · Views: 87
  • mrema na jk.JPG
    mrema na jk.JPG
    43.1 KB · Views: 80
I am not implying anything I just want you to give a comment on those picture.....To me upinzani unajengwa na hoja na sio chuki kama wengi wetu wanavyoona. Kwahiyo unaweza kutoa ujumbe kwenye hizo picha? Kama huwezi basi!

Zimefotolewa siku na mzingira tofautitufauti kwa hivyo hakuna jipya....zingekuwa zote ni za siku moja kama ya kutangaza matokeo ya uchaguzi tungezijadili vizuri
 
Zimefotolewa siku na mzingira tofautitufauti kwa hivyo hakuna jipya....zingekuwa zote ni za siku moja kama ya kutangaza matokeo ya uchaguzi tungezijadili vizuri

Unaamanisha kama hizi?
 
Attachments

  • shibuda akimpongeza kikwete.jpg
    shibuda akimpongeza kikwete.jpg
    55.6 KB · Views: 74
  • lipumba.jpg
    lipumba.jpg
    22.3 KB · Views: 64
At one time even George Bush shook hand with Saddam Hussein.......
 
a lot! to mbowe & slaa..personal friends, different thinking. to pinda, seems like slaa is telling him that the he is in the wrong squad. pinda reply that i am just like you guys... i am not a fisadi! slaa says why not joiining us? lipumba..unafiki.
 
Unaweza kuelezea Lipumba unafiki kivipi na kwanini hao wengine sio wanafiki ila yeye? Thanks
 
Inaonyesha wazi kuwa tanzania hamna chuki, hamna udini wala ukibila........ Kuna upinzania unaotaka kuleta maendeleo kwa taifa lote!

Anaesema tanzania kuna udini yeye ndo anaetaka kutuletea huo udini tena alaaniweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
wanajf, habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku, nimejaribu kupia hizi picha lakini sipati maana zinazojitosheleza naomba kama mtu anaweza kunipa ujumbe wa picha hizi maana they say a picture can say 1000 words. Jukwaa ni lenu...............

wala sio hivyo unavyofikiria ni undugu wa kawaida tulionao watz
 
Back
Top Bottom