Hizi picha zinatufundisha nini?

WanaJF, Habari zenu na poleni na majukumu ya kila siku, nimejaribu kupia hizi picha lakini sipati maana zinazojitosheleza naomba kama mtu anaweza kunipa ujumbe wa picha hizi maana they say a picture can say 1000 words. Jukwaa ni lenu...............

Zinatufundisha tucheke tukiwa kwenye hafla na na sikukuu za jamhuri ila sio kwenye mambo yalio nyeti katika mustkabali wa taifa hili!!
sijui kama umenipata?
 
Unaamanisha kama hizi?

Hii ya Shibuda na JK sio shwari. hata ukiangalia sura zenyewe hazina amani kwa kila mmoja wao, na hata wale wamemzunguka JK wapo na mshangao. Ni kama Shibuda alikwenda kumpa ujumbe kiaina hivi kwamba pamoja na kunitosa kwenye kura za maoni lakini nimerudi ulingoni ccm sio Mungu!!!!!
 
political maturity
attachment.php
 
Na picha hii je? Wanakumbatiana, au mmoja anakumbatiwi lakini she is not responding... Wataalamu wa body language mnasemaje

sia na mdee.jpg
 
Back
Top Bottom