Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,377
- 217,440
Mara kadhaa nimesikia kwamba ili mambo yako yasikwame katika awamu hii na hasa kwenye kipindi hiki cha kampeni basi kazi ni ndogo tu , chukua sare za ccm hata kama hazikuenei wewe zivae halafu fanya lolote , iwe magendo au uharamu wowote hutaguswa na yeyote , si polisi wala mgambo wa jiji .