Hizi ofisi ziko chini ya Wizara gani au ni taasisi zinazojitegemea?

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
1. Ofisi ya Msajili Wa Vyama Vya Siasa
2. National Electoral Commission(NEC)
3. Drugs Control Commission; (DCC)

Ziko Chini ya Wizara Gani au Ofisi, zinazojitegemea?? Any assistance please
 
1. Ofisi ya Msajili Wa Vyama Vya Siasa
2. National Electoral Commission(NEC)
3. Drugs Control Commission; (DCC)
Ziko Chini ya Wizara Gani au Ofisi, zinazojitegemea?? Any assistance please
Kapitie sheria zilizoanzisha hizo ofisi, majibu lazima yapo huko.
 
Tamisemi na mambo ya ndani, ndo wizara miavuli kwa swali lako.
 
1. Ofisi ya Msajili Wa Vyama Vya Siasa
2. National Electoral Commission(NEC)
3. Drugs Control Commission; (DCC)
Ziko Chini ya Wizara Gani au Ofisi, zinazojitegemea?? Any assistance please
Hizo ni ofisi za maamuzi na pesa haziwezi kuwa na wizara zinahudumiwa na kuwajibika ofisi ya rais directly,nina imani umeelewa sasa.
 
1. Ofisi ya Msajili Wa Vyama Vya Siasa
2. National Electoral Commission(NEC)
3. Drugs Control Commission; (DCC)
Ziko Chini ya Wizara Gani au Ofisi, zinazojitegemea?? Any assistance please
Taasisi zote hizi zipo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu
 
Back
Top Bottom