Hizi nyumba walijengewa watu wa kipato cha chini kweli?

Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
7,237
9,871
Zipo eneo la Kiseke Mwanza,uzinduzi wake ulifanywa na Rais Kikwete na katika matamshi yake alisema: nyumba hizi wakopeshwe watu wa kipato cha chini ambao kwa mishahara yao wasingeweza kujenga nyumba zao. Mbona asilimia 80 wamezinunua matajiri? Ushahidi: karibia zote zimepangishwa,nyingi zimebadilishwa au kwa kupanuliwa,kuezekwa kifahari,fensi,flemu za maduka,n.k. Yaani maskini akope nyumba alafu afanye matengenezo ya thamani halisi ya nyumba? Namfahamu mwanasheria mmoja aliyeuziwa nyumba tatu,mkibisha namuandika kwa jina. Aibu iwaendee PPF kwa kuwadanganya watumishi maskini.
 
mkuu yesu alishatabiri yote yanayotokea tz. Kila mwenye nacho ataongezewa na..................
 
Back
Top Bottom