Hizi nyimbo mpya za siku hizi mnazionaje?

Takataka tupu!
Mi naona wanachochea uzinzi tu tena worse case scenario ni wanawake wanaimba zote inamaana wanahalalisha madudu yote wanayofanya wanaume...Aibu naona mimi haki 😰
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nakubaliana na unachosema Best na ndiyo sababu nasema takataka tupu. Siwezi kupoteza muda wangu kukaa chini kusikiliza huo uchafu unaoitwa nyimbo. Na watoto wanasikiliza uchafu huo ná wanayajua maneno yote.

Mi naona wanachochea uzinzi tu tena worse case scenario ni wanawake wanaimba zote inamaana wanahalalisha madudu yote wanayofanya wanaume...Aibu naona mimi haki 😰
 
Hakuna uwongo wowote katika hizi nyimbo, ni ukweli mtupu....wewe hauna nyumba ndogo au je wazazi wako hawana nyumba ndogo?
Unahalalisha polygamy?sio watu wote wataafiki hilo!Hata kama kuna nyumba ndogo na nyumba mkubwa kwahio ndio mambo kuchambana hivi?au zilihalalishwa kwa misingi gani katika imani husika?
 
Tatizo ni kwamba zinachochea nini?zina maudhui gani?zinafundisha nini kizazi kijacho?nyimbo sio beats tu zinazochezeka na watu wanaotikisa matako!
kizazi chenyewe hiki kishajiozea..., hata wasipoimba ndo yanayotokea kila siku huko mitaani na wala sio kwamba hawa wasanii wanaifundisha jamii ila jamii ndo imewafundisha nin cha kuimba...

usiwataftie ubaya watoto wa watu wanaopambana kujitafutiba ili mkono uende kinywani...

na katika mafunzo kuna nyimbo kibao za dini, kaswida, zilipendwa, za makabila, nk zipo za watoto wa kizazi kijacho kuja kuzisikiliza na kupata jambo jipya,

ila km wataamua kufata mambo ya jamii wataumia na wala nyimbo hazitakuwa zimechangia kwa chochote
 
Ushawahi kusikia usemi WASANII NI KIOO CHA JAMII?
Nyimbo zinachangia sana,watoto wanaimba na kuzicheza!Hilo ni sawa?
 
Wanigeria wamewezaje kuinua industry yao ya muziki in such a short period of time?
Halafu sisi bado tunatazamia list ndogo sana ya A-list artists?
 
Takataka tupu!
Mi naona wanachochea uzinzi tu tena worse case scenario ni wanawake wanaimba zote inamaana wanahalalisha madudu yote wanayofanya wanaume...Aibu naona mimi haki 😰
I think last month niwanamziki watatu tu walitoa nyimbo nzuri pamoja na video zake ni Jay dee-I love myself,Nandi-nimekuzoea na pia Alikiba-salute hizi ni nyimbo nzuri mno.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Nasema Hivi.In "Mwigulu Voice"
Atuwezi Kurudi Enzi Za Wanaimba nyimbo za Shida Tu (Zilipendwa).Ni Lazima Kama Taifa watu Waburudike.."Waendelee Kutupa Burudani Vijana".

Ukiona Azikufai Ingia Youtube Msearch Remy Ongala.Msikilize Nyimbo Yake Moja pendwa Ya kifo.
Hahaha
 
Ushawahi kusikia usemi WASANII NI KIOO CHA JAMII?
Nyimbo zinachangia sana,watoto wanaimba na kuzicheza!Hilo ni sawa?
kwani we ambacho hujaelewa ni nini hapo mkuu?

labda mimi ndo sijui maana ya msanii, inawezekana msanii ni wa bongo fleva tu...

mabinti kibao huku mtaani wanapata mimba kabla ya kufika miaka 18, na wengine kibao wanazaa kabla hawajaolewa... na vijana kibao ni wavuta bangi, na walevi

hebu nambie, msanii anahusikaje na kuharibu vizazi vijavyo km jamii husika ilishajiharibikia?
(ref; kajala & paula)
 
Watoto wadogo wanajifunza kupitia vitu kama hivi!
 
Unahalalisha polygamy?sio watu wote wataafiki hilo!Hata kama kuna nyumba ndogo na nyumba mkubwa kwahio ndio mambo kuchambana hivi?au zilihalalishwa kwa misingi gani katika imani husika?
Ni kweli si kila mtu ataafiki hili ila habari ndiyo hiyo....polygamy is here to stay upende usipende.
 
Back
Top Bottom