LightYagami
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 2,825
- 1,493
Unawaongelea watanzania ganiWork ethics, yaani hapa ndio tunatofautiana pakubwa na Watanzania, ni nadra sana kumpata Mtanzania anayeheshimu ratiba ya vikao, muda wa kazi, kujituma kwa kasi, yaani kwa hili wasipolifanyia kazi nch yao itaendelea kuchelewa sana. Kingine hawapendi kujiongeza, unakuta mtu na kale kadigri kake ka mwanzo, hataki kuhudhuria masomo yoyote zaidi ya hapo, hataki hata kusoma vitabu wala nini, hata kwenye eneo la kazi mtu hataki kujiongeza hata kimajukumu, yaani pale alipowekwa na kuelekezwa ndipo ataishia miaka yote.
Japo muda usio mrefu watatiririka huku kwa zile povu za kawaida, ila huo ndio ukweli ambao walishazika vichwa kama mbuni ili kujifariji. Wanampa Magufuli tabu sana, kila siku anatumbua, anateua na kutengua, anamuweka huyu huku anamleta yule huku anampeleka huyu kule lakini ndio wale wale tu, wapo wapo hapabadiliki kitu.
Wao husema vitu lazima viende kibongobongo......
Naona umeweka highlight ili mradi ujihisi SUPERIOR. Deal with your insecurities maana post za quora tumeshazizoea, Hata mimi nipo Quora na wala sio big issue kutoa review yoyote kwa kuangalia 2 yrz vs 2 weeks " what a crap". Just go nd search for a better interesting story about Kenya and narrate it to your kids or baby brozView attachment 1100042View attachment 1100043View attachment 1100044Kenya vs Tanzania: Choosing the Ideal African Safari Destination | Goway
If you’re planning an African safari in the near future, let our comparative guide help you choose between Kenya and Tanzania.blog.goway.com
Work ethics, yaani hapa ndio tunatofautiana pakubwa na Watanzania, ni nadra sana kumpata Mtanzania anayeheshimu ratiba ya vikao, muda wa kazi, kujituma kwa kasi, yaani kwa hili wasipolifanyia kazi nch yao itaendelea kuchelewa sana. Kingine hawapendi kujiongeza, unakuta mtu na kale kadigri kake ka mwanzo, hataki kuhudhuria masomo yoyote zaidi ya hapo, hataki hata kusoma vitabu wala nini, hata kwenye eneo la kazi mtu hataki kujiongeza hata kimajukumu, yaani pale alipowekwa na kuelekezwa ndipo ataishia miaka yote.
Japo muda usio mrefu watatiririka huku kwa zile povu za kawaida, ila huo ndio ukweli ambao walishazika vichwa kama mbuni ili kujifariji. Wanampa Magufuli tabu sana, kila siku anatumbua, anateua na kutengua, anamuweka huyu huku anamleta yule huku anampeleka huyu kule lakini ndio wale wale tu, wapo wapo hapabadiliki kitu.
Wao husema vitu lazima viende kibongobongo......
Nimefuata hio link. Ukiona comment za waTz hapa Kenyan section utadhani Tz haina shida na kila mtu ametosheka ndio maana hawagomi ama kucritisise serikali yaoHii hapa opinion ya Watanzania wenyewe https://www.jamiiforums.com/threads...sana-sijui-tulikwama-wapi-watanzania.1584940/
Mimi sijawai kanyanga Tz, nilikuwa naona opinion ya watu ambao si Wakenya ama Watanzania. Uko free kunionnyesha opinion ya watu wanaclaim TZ ni more developed. Non TanzaniansMbona uko insecure msee,
Kwani kama ingekuwa ni kweli umeendelea kuliko Tz unadhani hilo lingehitaji maoni ya Wana quora kuthibitisha?
Security tuko worse. Hapo mmewin hands downNaona umeweka highlight ili mradi ujihisi SUPERIOR. Deal with your insecurities maana post za quora tumeshazizoea, Hata mimi nipo Quora na wala sio big issue kutoa review yoyote kwa kuangalia 2 yrz vs 2 weeks " what a crap". Just go nd search for a better interesting story about Kenya and narrate it to your kids or baby broz
Wewe inaonekana unafanya kazi na Kampuni aidha ya Wajenzi ama ya madereva,
Not a professional work, Ndio maana hiyo complain yako huja na kutoweka wakati wote,
Kwa tuliopitia formal works hakuna kitu kama hicho,
Ila kama unaweka kikao unataka ukutane na mafundi ujenzi na wabeba mizigo ama kikao cha harusi basi tegemea hayo,
Work ethics, yaani hapa ndio tunatofautiana pakubwa na Watanzania, ni nadra sana kumpata Mtanzania anayeheshimu ratiba ya vikao, muda wa kazi, kujituma kwa kasi, yaani kwa hili wasipolifanyia kazi nch yao itaendelea kuchelewa sana. Kingine hawapendi kujiongeza, unakuta mtu na kale kadigri kake ka mwanzo, hataki kuhudhuria masomo yoyote zaidi ya hapo, hataki hata kusoma vitabu wala nini, hata kwenye eneo la kazi mtu hataki kujiongeza hata kimajukumu, yaani pale alipowekwa na kuelekezwa ndipo ataishia miaka yote.
Japo muda usio mrefu watatiririka huku kwa zile povu za kawaida, ila huo ndio ukweli ambao walishazika vichwa kama mbuni ili kujifariji. Wanampa Magufuli tabu sana, kila siku anatumbua, anateua na kutengua, anamuweka huyu huku anamleta yule huku anampeleka huyu kule lakini ndio wale wale tu, wapo wapo hapabadiliki kitu.
Wao husema vitu lazima viende kibongobongo......
Mzee unasema kweli.....
Wachagga wanajaribu kuchangamsha ila population yao ndogo....
Pia Wakenya waliopo TZ wanajaribu kutukimbiza nadhani tutabadilika.....
Ni udhaifu tulio nao.....
Uzuri tunajua tatizo letu,hatukatai....tutalipatia solution tu!
Dah! Wachache kama wewe walio na ujasiri wa kuukabili ukweli na kuufanyia kazi. Mimi binafsi kuna madogo nimewafanyia mentoring hapo Bongo na wanakwenda vizuri sana, kila nikiona vitu wanavyotimiza huwa napata fahari, ila huwa sio rahisi, ktu cha kwanza niligundua kwa Watanzania usiwe mkali kwao, bembeleza tu na hatimaye wanaitikia mmoja mmoja.
Hivi akili inapimwa kwa kujua kingereza?Tunakubali mzee kimoyomoyo sema ni watu tu wanajitutumua tu humu!
Tunapiga hatua mkuu,kila kampuni Bongo ina atleast Mkenya,na jinsi wanavyotupeleka na exemplary zao,watu tuna adjust aisee!
In TZ Mwafrika anae tushtua sana ni Mkenya tu,gap litazibwa tu,tujipe 5-10yrs!
Kama unakumbuka 90's na early 2000's best schools Wabongo walikua wanakuja Kenya tu,sasa International Schools zipo hapa hapa!
Japo Wakenya ndio disproportionately wanafundisha kwa wingi hizi shule,ila itakaa sawa tu in time!
My age mates watoto zao wanawapeleka hizi English schools,hivyo in time nearly big population watatumia Kiingereza kizuri in time.....we will solve this!
Mengine ni serikali ya kipumbavu ya CCM ndio ya kulaumu....