Hizi ni dharau na je hakuna sheria ya kusimama upande wangu?

After interviews huwa wanauliza "Do you have any questions for us ? Wabongo anaona akiuliza atapoteza chance ya kazi itapotea badala yake anaanza I would like to take this opportunity to thank you blah blah....The most important question to ask the interviewer is "When should I expect to hear from you?" Jibu atakalo kupa lingekusaidia kupima kujua kama ubaki kusubiri mkataba ama urudi huo umbali wa km 900.

Lakini pia kama ni Taasisi rasmi/genuine kwa uelewa wangu mdogo tu, official communication hufanyika kwa barua ama barua pepe na sio simu. Kwahivyo kama upo serious unaweza kuandika official email kwa HR Cc.

Mkubwa wake aloku interview ku-follow up juu ya mkataba ama maamuzi yao ya kukuajiri. That's how things are done!!!What's up ama simu aiseee unaonekana una kauzembe flani hivi.
 
Back
Top Bottom