Hizi ni bendera za Nchi gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hizi ni bendera za Nchi gani?

Discussion in 'Jamii Photos' started by Tumsifu Samwel, Apr 27, 2010.

 1. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #1
  Apr 27, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  View attachment 9784 View attachment 9783

  Wakuu, naomba mnijulishe hizo bendera hapo juu ni za nchi gani?... Pia itakuwa vizuri kama mtanitajia zilitumika miaka ipi na bado zinaendelea kutumia au la!
   
 2. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #2
  Apr 27, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  Ya juu Tanganyika from 1919-1961.................ya chini from 1961-19164
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  [​IMG] [​IMG]

  mimi nilivyokuja ulimwenguni nilikuta hizi
   
 4. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  hata mie Preta hizo zingine nikama na China vile
   
 5. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #5
  Apr 27, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Teh teh teh! Preta mimi hiyo ya kulia sikuikuta, hivi ni ya nchi gani vile?
   
 6. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #6
  Apr 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Hivi hii nayo ni bendera? Ya nchi gani?

  [​IMG]
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Apr 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280

  hiyo ni ya Libya sijui inamaanisha uoto wa asili pekee au nini?
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Apr 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  libya
   
 9. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #9
  Apr 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  [​IMG]


  [​IMG] [​IMG]

  Na hizi je?
   
 10. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #10
  Apr 27, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  [​IMG]

  Nasikia na hii ndio bendera ya nchi ya Wadanganyika

  [​IMG]
   
 11. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #11
  Apr 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Duuu, watu mna GOOGLE au mnafahamu. Nilitaka kusumbua watu kidogo ila nimejibiwa haraka sana. Naona wengi sana Geography inapanda. Nakumbuka tukiwa shule ya Msingi, kulikuwa na mchezo wa kutafuta majina ya miji kwenye ramani. Sehemu zilizosumbua zilikuwa Kamchatka (Russia), milima ya Atlas (morroco) na kiboko ni pale jamaa alisema tumtafutie URI YA A KUSINI. Tusisota kama nusu saa hadi jamaa mmoja akaanza kucheka saaana na kusema "wee Mjinga, umetusumbua saana kwa uzembe wako, siyo URI YA A KUSINI ila maneno mengine yako upande wa pili wa ukurasa, na inatakiwa kuwa JAMHURI YA AFRIKA KUSINI". Kutoka siku hiyo tukaacha kutafuta maana ilikuwa ukisema tu jina, basi hata dakika haijaisha wameshakuonyesha.
   
 12. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #12
  Apr 27, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Mbona hamna kitu Preta?
   
 13. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #13
  Apr 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,037
  Trophy Points: 280
  umeziona sasa?
   
 14. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #14
  Apr 27, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,582
  Likes Received: 546
  Trophy Points: 280
  Bwana sikonge shule za zamani ramani yote ya dunia na bendera zake zilikuwa kichwani lakini watoto wanaosoma sasa sidhani kama ukiwauliza wanaweza ..
  Kuna sikunilikuwa nasikiliza Redio mtoto wa Intrenation skuli anaulizwa Makamu wa Rais anaitwa nani hajui..
  Sipati picha!
   
 15. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #15
  Apr 27, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  Enzi hizo tulikuwa tunajuwa viongozi wote wa serikali kuu, ukiondoa wale wa serikali za mitaa... Kila nchi na mazao yake na inategemea nini kukuza uchumi wa nchi zao.

  Sina uhakika kama wanafunzi wa sasa wanajuwa baraza la mawaziri lina mawaziri wangapi...!
   
 16. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #16
  Apr 27, 2010
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Enzi zetu pia kulikuwa na vituko. Unakumbuka yule mtoto aliulizwa Rais wa Kenya ni nani akasema hafahamu. Mwalimu akamcheka sana na mwisho kumwambia anaitwa KENYAta. Kijana akafurahi na kusema sasa anawafahamu Marais wa dunia nzima. Zambia anaitwa ZAMBIAta, ZAIREta, UGANDAta, TANZANIAta, MAREKANIta, RUSSIAta, ARGENTINAta, LIBTAta .......................... "ehhhhh, stop!!".
   
Loading...