Siku hizi mbao kama dhahabu
Sisi tunaangalia kalio kama kipimo cha akili na uzuri.Ni kweli Waitaliano wananunua magogo yetu na sisi tunaagiza furniture za Italy meza $800
Hiki kitanda nimelalia sana, lakini sahivi ni dili sana kwa maana kwenye hoteli vinatumika kwa ajili ya watalii, ni nadra sana kumkuta mtu yuko nacho nyumbani.View attachment 1773917
Kiliitwa kitanda cha semedari
Kuta za vyumba zinaficha mengi mkuu. Unaweza kuta mtu mnene kama pepe kale anakunjwa kwenye hako kakiti na akatosha vizuri kabisa.HAKO KAKITI KADOGO MWISHO WA KITANDA HUWA KANA KAZI GANI???
weeweeee acha mafikirio mbaya kwa kichwa yakoHAKO KAKITI KADOGO MWISHO WA KITANDA HUWA KANA KAZI GANI???
😂😂😂😂Kuta za vyumba zinaficha mengi mkuu. Unaweza kuta mtu mnene kama pepe kale anakunjwa kwenye hako kakiti na akatosha vizuri kabisa.
Bibi anacho hadi leo, ila hakitumiki.View attachment 1773917
Kiliitwa kitanda cha semedari
Asante kwa kiswahili yakoweeweeee acha mafikirio mbaya kwa kichwa yako
Anyway
Yatumika vile venye unataka badilisha style ya kupakata Bibi
Ukuje huku huku Nairobi uone vyenye tunakatumiaga
(Kidding)
😂😂😂😂😂😂😂😂
Aiseee nipazuri kwakweli uwezo wa kifedha tu.........View attachment 1773917
Kiliitwa kitanda cha semedari
Uelewa wangu hivyo vitanda vilikuwa virefu kuliko hicho pichani na hicho kiti kilitumika kupandiaHAKO KAKITI KADOGO MWISHO WA KITANDA HUWA KANA KAZI GANI???