Hizi nguo kama za EFF ya Malema Afrika Kusini ndiyo CHADEMA wanavaa siku hizi?

Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi.

Ni mavazi rasmi ya Chadema?

Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?

Yanaashiria nini?

Wenye clips au picha naomba muweke.
Kwahiyo ni yapi mawazo yako katika hili?
 
🤣🤣Mkuu wangu arbab THE BOSS

Nami nimeshawahi KUANDIKA chapisho humu ndani kuhusu ulilouliza........

SITAKI KUWAITA CHADEMA NI WALAGHAI ILA WANASHANGAZA MNO.....

1)Chadema si chama Cha KIKOMUNISTI kama cha EFF chini ya Komredi TATE JULIUS MALEMA.....

2)Chadema si chama cha KIJAMAA (SOCIALIST) Kama CCM chini ya mh.Rais SSH.........

✓Ni wakomunisti wanaovaa BERETI NA MIBUTI MIGUUNI
✓Ni wakomunisti wenye salamu za kuhanikiza NGUVU YA JAMII(PEOPLE'S POWER)
✓Ni wakomunisti wenye harakati za "KIKAMANDA" 🤣

Chadema imefeli KUJIBRAND mavazi mpaka salamu zao....

Komredi Yericko Nyerere aje atueleze mrengo wa kisiasa wa chama chao........🤣🤣

#KaziIendelee
 
Kwahiyo ushauri wako kwaoni upi ndugu Kijumbe?
 
Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi.

Ni mavazi rasmi ya Chadema?

Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?

Yanaashiria nini?

Wenye clips au picha naomba muweke.
Walipoanza kuvaa magwanda mlikuja na kauli kuwa wanavaa nguo za mgambo, baada ya kuona zimekubaliwa na wengi na nyie mkaanza kushona gwanda la kijani. Kama vipi na nyie anzeni kuvaa zinazofanana na kile chama chenu rafiki cha china ili ngoma iwe droo kama kwenye gwanda.
 
Walipoanza kuvaa magwanda mlikuja na kauli kuwa wanavaa nguo za mgambo, baada ya kuona zimekubaliwa na wengi na nyie mkaanza kushona gwanda la kijani. Kama vipi na nyieanzeni kuvaa zinazofanana na kile chama chenurafiki cha china.
CCM kuvaa magwanda ya kijani ni sawa tu.....

Wajamaa huvaa magwanda ,mashati ,bereti....ila CHADEMA mmmh 🤣
 
Magonjwa mtambuka. Kwa nini ulijiita magonjwa mtambuka? Ulishawahi kuugua ugonjwa wowote wa akili? Je jina la magonjwa mtambuka ulipewa na wazazi wako au ulilipata baada ya kuugua ugonjwa wa akili?
ni baada ya kuugua ugonjwa wa akili ndio maana aka jinikname hivyo
 
CCM kuvaa magwanda ya kijani ni sawa tu.....

Wajamaa huvaa magwanda ,mashati ,bereti....ila CHADEMA mmmh 🤣
Lakini mlianza kwa kuwaponda chadema kisha kidogo kidogo mkaanza na nyie kuvaa gwanda, hivyo nina uhakika soon mtaanza kuvaa nguo zinazofanana na za chama kinachoongoza china
 
Mwendawazimu mwingine huyu, mnavyokua majizi pale kwenu mmewadhulumu Startv, Mmewadhulumu Efm na mlimdhulumu Shigongo, ulidhani basi kila MTU ana hulka ya wizi kama nyie
wanatudhurumu na kwenye miamala
 
Afya yangu halafu ulazimishe chanjo? Nani kamlipa kumtafutia soko la chanjo kwa lazima hiyo.
 
Lakini mlianza kwa kuwaponda chadema kisha kidogo kidogo mkaanza na nyie kuvaa gwanda, hivyo nina uhakika soon mtaanza kuvaa nguo zinazofanana na za chama kinachoongoza china
Tuliwaponda kwa kufeli kimavazi....

Chadema si Chama cha KIKOMUNISTI WALA KIJAMAA useme "GWANDA" ni stahiki yao....sijui kama unanipata kijana wa UFIPA?!! 🤣
 
Nimeona clip ya Mbowe anasema chanjo iwe lazima nimeshangazwa na mavazi.

Ni mavazi rasmi ya Chadema?

Mbona kama yanafanana na Eff ya Malema?

Yanaashiria nini?

Wenye clips au picha naomba muweke.
Mbowe naye anatuburuza bwana! Yameiga kwa Malema!!
 
Ibara ya ngapi ya katiba inasema kuwa gwanda ni vazi la kikomunisti?
Tuliwaponda kwa kufeli kimavazi....

Chadema si Chama cha KIKOMUNISTI WALA KIJAMAA useme "GWANDA" ni stahiki yao....sijui kama unanipata kijana wa UFIPA?
 
Back
Top Bottom