Hizi ndoo wizara ambazo zimeongoza kutoa matamko mabovu na yakukatisha tamaa 2016

MP CHACHANDU

JF-Expert Member
Dec 4, 2016
875
615
01: wizara ya utumishi wa umma na utawala bora,waziri angellah kairuki, mfano wa matamko tumefuta ajira za viajna 3000 tuliowaajiri mwezi June 2016 hatuitambui mikataba yao mfano mwingine ,zoezi LA uhakiki wa watumishi hewa ni endelevu, mfano mwingine uhakiki hautazidi miezi miwili .nk

02: wizara ya elimu sayansi na teknolojia ,waziri wake joyce ndalichako,mfano wa matamko ,mikopo ya chuo kikuu siyo sadaka tutatoa kwa wachache, tumefuta foundation kozi kwennda kusoma chuo kikuu, ajira ni kwa walimu wa sayansi tu kwanza.nk

03: wizara ya fedha,mfano wa matamko tra wameongeza mapato.

04: wizara ya mambo ya ndani ya nchi, mfano wa matamko tumezuia mikutano ya kisiasa ya nje sababu za kiintelijensia

05: wizara ya viwanda ,mfano wa matamko ,viwanda vidogovidogo vimefunguliwa vingi.

06: wizara ya ujenzi ,a.k,a bomoa bomoa

07: Tamisemi,waziri wake simbachawene na jaffo mfano wa matamko ajira za walimu zitatoka mwezi may 2016 akijibu swali bungeni naibu waziri jafo

08: wizara ya afya ,waziri wake ni ummy mwalimu mfano wa matamko hakuna ukosefu wa madawa hospitali ,hakuna ugonjwa wa zika .nk

Hizi ndoo baadhi ya wizara ambazo Mara kwa Mara zimekuwa zikitoa matamko ambacho yamekuwa yakitoa machozi kwa wananchi na kuwaacha wananchi wakishangaa.
 
01: wizara ya utumishi wa umma na utawala bora,waziri angellah kairuki.

02: wizara ya elimu sayansi na teknolojia ,waziri wake joyce ndalichako.

03: wizara ya fedha.

04: wizara ya mambo ya ndani ya nchi.

05: wizara ya viwanda

06: wizara ya ujenzi ,a.k,a bomoa bomoa

Hizi ndoo baadhi ya wizara ambazo Mara kwa Mara zimekuwa zikitoa matamko ambacho yamekuwa yakitoa machozi kwa wananchi na kuwaacha wananchi wakishangaa.
Nogesha kwa kuweka mifano ya matamshi
 
Mwaka huu wadau wengi wamejianzishia TWAWEZA zao binafsi sasa kila mmoja analeta mrejesho wa tafiti walizofanya. Anyway sikufanya utafiti ila hizo wizara zimetoa matamko mengi ya kukera na kutia kichefuchefu maana afisa mmoja wa wizara akitoa tamko kesho anakuja mwingine kukanusha yaan kama maigizo Fulani hv
 
01: wizara ya utumishi wa umma na utawala bora,waziri angellah kairuki, mfano wa matamko tumefuta ajira za viajna 3000 tuliowaajiri mwezi June 2016 hatuitambui mikataba yao mfano mwingine ,zoezi LA uhakiki wa watumishi hewa ni endelevu, mfano mwingine uhakiki hautazidi miezi miwili .nk

02: wizara ya elimu sayansi na teknolojia ,waziri wake joyce ndalichako,mfano wa matamko ,mikopo ya chuo kikuu siyo sadaka tutatoa kwa wachache, tumefuta foundation kozi kwennda kusoma chuo kikuu, ajira ni kwa walimu wa sayansi tu kwanza.nk

03: wizara ya fedha,mfano wa matamko tra wameongeza mapato.

04: wizara ya mambo ya ndani ya nchi, mfano wa matamko tumezuia mikutano ya kisiasa ya nje sababu za kiintelijensia

05: wizara ya viwanda ,mfano wa matamko ,viwanda vidogovidogo vimefunguliwa vingi.

06: wizara ya ujenzi ,a.k,a bomoa bomoa

07: Tamisemi,waziri wake simbachawene na jaffo mfano wa matamko ajira za walimu zitatoka mwezi may 2016 akijibu swali bungeni naibu waziri jafo

08: wizara ya afya ,waziri wake ni ummy mwalimu mfano wa matamko hakuna ukosefu wa madawa hospitali ,hakuna ugonjwa wa zika .nk

Hizi ndoo baadhi ya wizara ambazo Mara kwa Mara zimekuwa zikitoa matamko ambacho yamekuwa yakitoa machozi kwa wananchi na kuwaacha wananchi wakishangaa.
Utulivu ungekusaidia kuandika vizuri, mfano, unaandika tamko la kwanza, then la pili linalonesha kupinga la kwanza, posti nzuri ila haraka imekuyumbisha
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom