Hizi ndoa za wana JF zingependeza kama ingekuwa hivi?

Asante dada maana kidogo nipasuke kwa hasira hapa nilipo duh!Anyway umeamkaje lakini dada?Mwambie shem leo naja kuwatembelea,utaniandalia kile chakula tulichokuwa tunakipenda utotoni!!


Niko pouwa... Leo natolewa outing na shemejio mchana...
unaonaje tufanye next weekend hasa ukizingatia chakula upendacho
cha chukua mda saana kuandaa...
 
Dada na wewe bana,ndo maana nilikua nakufinya wakati ulee,misimamo yako hiyo!Haya bwana nitasubiri next w/end,msalimie shem!
 
Kuna moja inataka kuwa!Ha,ha,ha,ha,haaaaa!


Kuna binti anaitwa ma'swagga katangaza ndoa kua ni wifi yangu kwako... Hivi kweli??
maana huu uzi ulikua mbali saana mpaka umerudi hapa ina maana yawezekana..
 
Dada acha mambo yako,ipo ndoa yaja,ila ni siri yangu!Mpaka ifungwe ndo nitakunong'oneza!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom