Hizi ndoa za wana JF zingependeza kama ingekuwa hivi?

Weeee naye thread zako kama za kipashikuna hivi waache wenzio na mambo yao. NB: Wewe si mgeni hii ni ID ya ngapi kwako?

Hii kali... Dah!

Hapa Eiyer nimetoka katika thread yako hapo nje
kukwambia mapungufu ya thread ulotuma (Aiseeeeeeeeee...)
Hapa sasa umenimaliza!! sina hata la kuongeza....

hallucinations! pole,pata kahawa kwanza manake wknd ndo inaanza!

Mpenzi you can not imagine... nashukuru tu mupenzi hayupo maana angepitia huu uzi Eiyer angekua kawasha moto!
Unajiandaa vipi na weekend??

mwenzanguuu! ngoja huyu baba hapa aamke manake leo nna kazi ya kuhakikisha haingii humu! huyu eiyer atanikosesha shopping ya wknd!
wknd nipo tu my dear, nazimua na kahawa hapa akili ikunjuruke.

Ha,ha,haaaa,Wise una utani na Mlimazunzu,kanuna coz sikumpa wake!Ha,ha,ha,haaaaa!

Saint Ivunga na Asha D,king'ast na Mzee Mwanakijiji,Husninyo na Sharo hiphop,Lizzy na nanihiii!!Vp ingekuwa vp?

nafikiri kopo lako la kuchambia limetoboka, unahitaji jipya. m-PM bwabwa atakuziba kwa OKO!

mwenzanguuu! ngoja huyu baba hapa aamke manake leo nna kazi ya kuhakikisha haingii humu! huyu eiyer atanikosesha shopping ya wknd!
wknd nipo tu my dear, nazimua na kahawa hapa akili ikunjuruke.

King'asti siku nyingine relaxisha akili kidogo...lol.. wewe kila siku unaishulubisha!
Hio kahawa not more than one cup.. Ni sat tunaruhusiwa kujiachia...

Haaa,King'ast,unamsubiri Mzee Mwanakijiji aamke!!Kumbe naweza kuchukua nafasi ya yule mtabiri naniiii!

nirelaxishe hii akili kiduchu mamii,itaweka neutral/free afu iwe balaa. hebu nipe desa kwanza la kizimulio...

King'asti siku nyingine relaxisha akili kidogo...lol.. wewe kila siku unaishulubisha!

Hio kahawa not more than one cup.. Ni sat tunaruhusiwa kujiachia...[/QUOTE

Mtu mmoja naaaa....Ngoja nimkumbuke wako...Sasa mbona unanuna asubuhi yote hii?Utapishana na utajiri!Smile shauri yako!

nirelaxishe hii akili kiduchu mamii,itaweka neutral/free afu iwe balaa. hebu nipe desa kwanza la kizimulio...

King'asti siku nyingine relaxisha akili kidogo...lol.. wewe kila siku unaishulubisha!

Hio kahawa not more than one cup.. Ni sat tunaruhusiwa kujiachia...[/QUOTE

Hapa hata desa halina haja... umeanza vizuri si umesema uko na mzeya hambo pembeni... Do the needful...

ww hujakaa na babu yako eeh? wazee kama mkjj wanalala only 2 hrs manake wanaogopa kufa. ww inadhani muda wa kuishi humu jf anautoa wapi? huyu baba hapa kuamka saa sita manake anamalizia ku-digest pombe za jana!

Haaa,King'ast,unamsubiri Mzee Mwanakijiji aamke!!Kumbe naweza kuchukua nafasi ya yule mtabiri naniiii!

Similar Discussions

Back
Top Bottom