Hizi ndo shule 100 Kongwe na zilizotikisa Tanzania, na asilimia 90 humu tumepitia katika shule hizi

Tukuyu Polisi na Amani Tanga mbona hazipo hapo? Maana hizo ndiyo shule za kwanza nchini.

Tukuyu polisi ni primary school, tukisema tutaje primary schools humu ndani server itajaa. Anyway wewe ni product ya Mr Mwakwilusa na Mwumbe? Wazee wa hisabati . Mumbe mzee wa kuchapa vidole eti sambusa
 
"Our motto liberation, eduation we get should liberate us" - hii ni NJOMBE SECONDARY a.k.a NJOSS
Sasa nakuja kuitaja Shule moja tu ya BOY'S Tanzania hii, nikisema mim nmesoma Boys namaanisha ni SONGEA BOY'S tu kwani kuna boys moja tu Tanzania nzima.
Box 2 nyoosha kidole cha kati juuuuuuuuuu

Tamsala
 
Kama kilakala haipo Mod wafute uzi huu ukapangwe upya. Huwezi kuitaja Mzumbe bila kilakala
Ilikuwa balaa ndio tulikuwa tunatoana stress kwa muziki enzi hizo vibao vya Lady Madona, Break dance za Michael Jackson, vinatamba
Tunavaa suruali dont touch, nywele umepiga push back usafiri kwenda disco Kilakala gari la shule Isuzu TXD hili ni lori

Hehee vijana wa MZUKILA dah, halafu uniform zinalingana rangi
 
Kama kilakala haipo Mod wafute uzi huu ukapangwe upya. Huwezi kuitaja Mzumbe bila kilakala
Ilikuwa balaa ndio tulikuwa tunatoana stress kwa muziki enzi hizo vibao vya Lady Madona, Break dance za Michael Jackson, vinatamba
Tunavaa suruali dont touch, nywele umepiga push back usafiri kwenda disco Kilakala gari la shule Isuzu TXD hili ni lori

Ulikua unaitwa mchuma
 
Kitendo cha kujiunga na shule ile automatically unajikuta ushakuwa mhuni Wa aina flani, kupitia michezo ya bonanza la manispaa tulikuwa tunavuruga amani manispaa yotee. Siku Kanta wakiwa zamu kucheza basi ffu walikuwa hawakai mbali na Mara kadhaa wametushindwa, tulikuwa tukitoka Nelson Mandela stadium tunafunga njia st. Theresia tunasindikiza "wachumba" zetu. Kitendo hicho kilichukiza Sana polisi Ndio maana Siku ulivotokea mgomo walikuja wamejipanga tukakomeshwa.

.....uvamizi Wa sherehe za mtaani ulizidi sana had kuna siku washkaji waliwahi kwenye tukio LA kipaimara wakaa kwenye siti ya wazazi wa mtoto.

....but maisha ya pale shule yalitujenga kuwa imara, wapambanaji, maana kusavaivu maisha ya pale basi hakuna sehemu waweza shindwa ishi.
....pia kitaaluma tulikuwa vizuri na hadi sasa shule kitaaluma iko vizur sana, kitendo cha kuwepo pale vijana wote uwa wanapambana Kwa kushirikiana kwenye mambo yote hususan ya kitaaluma.
ALWAYS AIM HIGH
Mlitisha sana mpka mlikaa kwenye siti za wazazi dah kantalamba!!
 
Aisee mpaka nimevikumbuka vile vimachungwa vya kule Ochard chini ya Dorm 30 pale na Vimbuzi vya Mama Rehema..
Mlizikuta Jango"s laws??

No material No Pafu! Bisi zilipata tabu sana kule ochard.

Nyuka na magazeti pale kwa mzee Lekey?

Kuna ticha akiitwa Mpande
.. . Ni bora ukutane na mjeledi kuliko bakora zake!
 
Nimekucheki nimeona una akili sana ila uangalifu ndio huna. .. nimemsema mleta mada ni kama kajianzishia tu thread na Heading yake ni neno Shule... sasa kwa mtu makini hata ukiwa ni mtihani Anasoma kwanza instructions... na sio kuanza tu kujibu maswali... watu wengi mitaani wamefail life kwa kutokuwa makini tokea mashuleni kwao walianzia ila wana akili sana tunawaona kwenye shughuli mbalimbali wabazozifanya...
So hauhitaji kunikosoa kuhusu heading na maneno niliyoandika labda uwe mtu mbishi for funny....
Saidia mada kwa kuweka age ya hizo Shule na useme ukongwe unaanzia age gani...
Bahati nzuri niliishi Iyunga na IST hivyo ninazifahamu vizuri sana na zote zlikuwa European School. Sifa kubwa ya Mbeya School (Iyunga) ni mmoja wa marais wa makaburu alisoma hapo! Miaka ya hamsini.
 
Bahati nzuri niliishi Iyunga na IST hivyo ninazifahamu vizuri sana na zote zlikuwa European School. Sifa kubwa ya Mbeya School (Iyunga) ni mmoja wa marais wa makaburu alisoma hapo! Miaka ya hamsini.
Hivi mtu wewe upoje? IST ni shule au sio Shule? Nadhani lengo lako halipo kwenye Mada husika zaidi ya kuleta story zako zisizo eleweka! Tafuta mtu mwenye mawazo yanayofanana na yako mchati... I only deal na watu wanaofuata Mada and not nje ya Mada... maana ulikuja speed kunipinga kuwa IST sio shule.. and then unaleta mambo mengine
 
Hivi mtu wewe upoje? IST ni shule au sio Shule? Nadhani lengo lako halipo kwenye Mada husika zaidi ya kuleta story zako zisizo eleweka! Tafuta mtu mwenye mawazo yanayofanana na yako mchati... I only deal na watu wanaofuata Mada and not nje ya Mada... maana ulikuja speed kunipinga kuwa IST sio shule.. and then unaleta mambo mengine
Inawezekana unaandika bila kusoma, nilieleza IST haikuwa sekondari nikijua mada inahusu sekondari tu enzi hizo husika na lini IST sekondari ilipoanzishwa, pia nilieleza Iyunga sekondari ilivyoanzishwa na ilivyokuwa, sijui ubishi kuhusu uhalisia wa shule hizo mbili uko wapi, inawezekana wewe unazikia tu, mimi nimepitia shule hizo na si stori kama unavyodai na wala sioni ubishi unaanzia wapi, unadhani ni uelewa au kuandika jambo kwa mihemko.
Tumalizie kukubaliana kwa kutokubaliana.
 
Kama kilakala haipo Mod wafute uzi huu ukapangwe upya. Huwezi kuitaja Mzumbe bila kilakala
Ilikuwa balaa ndio tulikuwa tunatoana stress kwa muziki enzi hizo vibao vya Lady Madona, Break dance za Michael Jackson, vinatamba
Tunavaa suruali dont touch, nywele umepiga push back usafiri kwenda disco Kilakala gari la shule Isuzu TXD hili ni lori
I see a brother, Mzukila!
 
HIZI NDIO SHULE 105 KONGWE TANZANIA.kama jina la shule uliyosoma wewe haipo hapa basi ujue akili zako za kulazimisha

Shule hizo ni;
1.Mzumbe
2.Milambo
3.Kantalamba
4.Minaki
5.Iyunga
6.Kibaha
7.Mazengo
8.Tosamaganga
9.Tabora boys
10.Mtwara tech
11.Moshi tech
12.Tabora girls
13.Pugu
14.Ifakara girls
15.Tambaza
16.Azania
17.Msalato
18.Kilakala
19.Umbwe
20.Rungwe
21.Songea boys
22.Masasi girls
23.Kigonsera
24.Tarime
25.Sengerema
26.Shinyanga"shy bush"
27.Ndanda
28.Njombe sec
29.Kigoma
30.Kwiro
31.Bwiru boys
32.Bwiru girls
33.Nsumba
34.Lindi
35.Bagamoyo
36.Kibiti
37.Jitegemee
38.Kabanga
39.Mpwapwa
40.Bihawara
41.Same
42.Weruweru
43.Kifungilo
44.Galanosi
45.Nangwa
46.Korogwe girls
47.Nyegezi seminari
48.Kilosa
49.Tunduru
50.Ndwika
51.Chidya
52.Mwenge
53.Maposeni
54.Ngudu
55.Igawilo
56.Msolwa
57.Mambwe
58.Lugalo
59.Makongo
60.Ifunda tech
61.Iliboru
62.Kidugara
63.Iringa girls
64.Maswa girls
65.Mahiwa
66.Marangu
67.Arusha
68.Ngaza
69.Usagara
70.Ihungo
71.Maua seminary
72.Uru seminary
73.Lyamungo
74.Mafinga seminary
75.Kirinjiko
76.Tanga tech
77.Kibosho girls
78.Kibondo
79.Mara
80.Jangwani
81.Machame girls
82.Korogwe girls
83.Uwemba
84.Pamba
85.Kahororo
86.Nyakato
87.Sangu
88.Kibasila
89.Karatu
90.Ngudu
91.Iliboru
92.Kindondoni Muslim
93.Ashira
94.Kaengesa
95.Magamba
96.Zanaki
97.Tasamaganga
98.Mwika
99.Old moshi.
100. Imboru
101.Singe Sec
102.Madunga
103.Malangali
104.Ifunda
105.Songea girls

Hegongo ndio kongwe mkuu rudi usome historia ya hio shule
 
Hiyo Mazengo Technical Secondary School mwaka 2000.
FB_IMG_1523529814531.jpg
 
Kama nimeitaja shule yako jitokeze na uitaje umpate school mate mwenzio muunde undugu.. Nimepanga randomly bila kufuata utaratibu wowote..

1.Mzumbe

2.Milambo

3.Kantalamba

4.Minaki

5.Iyunga

6.Kibaha

7.Mazengo

8.Tosamaganga

9.Tabora boys

10.Mtwara tech

11.Moshi tech

12.Mwakaleli

13.Tabora girls

14.Pugu

15.Ifakara

16.Mtwara girls

17.Tambaza

18.Azania

19.Msalato

20.Kilakala

21.Umbwe

22.Rungwe

23.Songea boys

24.Masasi girls

25.Kigonsera

26.Tarime

27.Malangari

28.Sengerema

29.Shinyanga ''Shy bush''

30.Ndanda

31.Njombe sec ''njosi"

32.Kigoma

33.Kwiro

34.Bwiru boys

35.Bwiru girls

36.Nsumba

37.Lindi

38.Bagamoyo

39.Kibiti

40.Jitegemee

41.Kabanga

42.Mpwapwa

43.Bihawana

44.Same

45.Weruweru

46.Kifungilo

47.Galanosi

48.Nangwa

49.Morogoro

50.Korogwe girls

51.Kilosa

52.Tunduru

53.Ndwika

54.Chidya

55.Mwenge

56.Maposeni

57.Ngudu

58.Igawilo

59.Msolwa

60.Mambwe

61.Lugalo

62.Makongo

63.Ifunda tech

64.Iliboru

65.Kidugala

66.Iringa girls

67.Maswa girls

68.Mahiwa

69.Marangu

70.Arusha

71.Ngaza

72.Usagara

73.Ihungo

74.Maua seminary

75.Uru seminary

76.Lyamungo

77.Mafinga seminary

78.Kirinjiko

79.Tanga tech

80.Kibosho girls

81.Kibondo

82.Mara

83.Jangwani

84.Nyegezi seminary

85.Machame girls

86.Namupa seminary

87.Uwemba

88.Pamba

89.Kahororo

90.Nyakato

91.Sangu

92.Kibasila

93.Mawenzi

94.Karatu

95.Kindondoni Muslim

96.Ashira

97.Kaengesa seminary

98.Magamba

99.Zanaki

100.Old Moshi
Haya muweke # SIHA SECONDARY SCHOOL hapo.
 
HAPO SHULE AMBAZO NIKO FAMILIAR NAZO PERSONALLY, URU SEMINARY, KIBOSHO GIRLS, WERUWERU, MOSHI TECH, JANGWANI GIRLS.

SIZIONI SHULE NYINGINE MUHIMU KAMA FORODHANI, KISUTU, MACHAME GIRLS, SHAURITANGA, ARUSHA SEC
 
Back
Top Bottom